Si bure... atakuwa anaumwa huyu jamani. Tusifanye mzaha kwenye hili. Tunaomba wale walio na taarifa watujuze.. Hiyo hali kwenye picha inaonekana kama anasumbuliwa na kaugonjwa fulani....
mzungu kapanda baskeliiiiiiiiiiiiiiiii bata kavaaa raizoniiiiiiiiiiiiiiiiii.......kile ndege hutua mti aupendaoooooooooooooooooooooooo.......its soooo SAD kuona big talent like this inapotea!!...ingawa sijui bata kavaa raizoni alikuwa anamaanisha nini haaaaaaa:biggrin1::welcome::welcome::A S 8:[/QUOT
pauline love u
halafu picha zinazoletwa hapa ni za ben kinyaiya???yeye ni shushushu nini?
Una roho mbaya, ya chuki na kichawiNa baaaaado si alizani Dunia imeganda haizunguki, na atakoma inawekekana akafulia mazima sababu takeu style haina soko na watoto wanapenda miziki ya wakubwa sasa hivi