Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishafulia siku nyingi huu ni mwendelezo tuu.
jamani mbona anaonekana mgonjwa???:redfaces::redfaces:
jamaa sio mida hii juzi kati tulikuwa naye chobingo moja mchizi anatia huruma
He he hee,kuna watu mmepindasio kosa lake maana watoto aliokuwa anawaimbia wameshakuwa wakubwa sasa.
Si bure... atakuwa anaumwa huyu jamani. Tusifanye mzaha kwenye hili. Tunaomba wale walio na taarifa watujuze.. Hiyo hali kwenye picha inaonekana kama anasumbuliwa na kaugonjwa fulani....
Umempimaa? Watu wengine bwana, mnapenda kuhukumu watu wakati nyie wenyewe hata kupima hamjawahi. Kwa taarifa yako 4.5% ya watanzania wana kubwa kwa hiyo acha kunyooshea vidole wenzako jilinde na wajali na kuwapenda wanaoumwa. Na pia gonjwa alipimwi kwa macho bali kwa vipimo vya maabara. Mmekalia umbea tuSi bure... atakuwa anaumwa huyu jamani. Tusifanye mzaha kwenye hili. Tunaomba wale walio na taarifa watujuze.. Hiyo hali kwenye picha inaonekana kama anasumbuliwa na kaugonjwa fulani....
You better lose yourself in the music,
the moment You own it, you better never let it go
You only get one shot, do not miss your chance to blow
This opportunity comes once in a lifetime yo,
Si bure... atakuwa anaumwa huyu jamani. Tusifanye mzaha kwenye hili. Tunaomba wale walio na taarifa watujuze.. Hiyo hali kwenye picha inaonekana kama anasumbuliwa na kaugonjwa fulani....