Mr. Nice Aokoka! Hallelujah!

Mr. Nice Aokoka! Hallelujah!

Naona yuko huko kwa muda baada ya kufulia, hao 'wapendwa' wasijidanganye, huyu akipata 'vijisenti' kidogo hawatamwona tena!
Hahaha, kwani kwa Gei Davie kuna pesa anazotegemea kuzipata au Geo Davie anategemea kupata nini kutoka kwa Mr. Nice?
 
Aliyekua muimbaji wa Dansi nchini Lucas Mkenda au Mr. NICE kama anavyojulikana na wengi amempa Yesu maisha yake tangu mwezi wa nane mwaka huu. Anahudhuria ibada, maombezi na tayari amebatizwa. Chanzo cha habari kinasema anaabudu Kawe kwa GeoDavie jijini Dar-es-salaam, tayari ana nyimbo nne za kusifu na kumuabudu Mungu. Amekua akitoa ushuhuda wake kwamba Mungu amemponya na kuyaokoa maisha yake.

mr-nice.jpg


Source:Mr. Nice aokoka
Mungu ni mwema
 
KILA JUMANNE:huwa anatumbuiza MASAI CLUB pale karibu na mango-garden.halafu jamaa anaongoza kwa kuomba bia mazee!yani akishaingia tu inabidi wadau tujifiche,maanake ni kama luba.

kwa mfanu jumanne iliyopita alikunywa sana konyagi.............

anaebisha tukutane nae kesho club masai
Nimechekaa,kiu aina adabu...
 
Back
Top Bottom