Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Mmmh mr nice mara kipigo, sahivi ajali pole sana
get well soon
Kumbe yote hayo kisa ni papuchi tu, makubwaaaa....Mr nice yapasa hatubu na haache wake za watu, atulie
walikua mtungi wote na dereva wa bajaji piaHivi kuna ukweli mbona taarifa imechelewa hivi?
Watakuwa wamelewa tu huku wanaendesha gari
alikua kwenye bajaji syo gari
Lini hii ajali imetokea?
walikua mtungi wote na dereva wa bajaji pia