Mr. Nice apata ajali na aliokuwa nao wote wafariki dunia, anusurika kifo peke yake!

Mr. Nice apata ajali na aliokuwa nao wote wafariki dunia, anusurika kifo peke yake!

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Kwa mujibu wa rafiki kipenzi wa Mr. Nice tangu kipindi kile cha "kidali po" Wabogojo aliandika kupitia mtandao wa kujamii wa instagram kuwa mnamo tarehe 12 mwezi wa 4 mwaka huu Msanii Lucas Mkenda "Mr. Nice" alipata ajali ya gari na waliyokuwa naye wote walikufa ila amenusurika yeye peke yake.

Tazama alichokiandika hapa chini

 
Hivi kuna ukweli mbona taarifa imechelewa hivi?
Watakuwa wamelewa tu huku wanaendesha gari
 
Mmmh mr nice mara kipigo, sahivi ajali pole sana
get well soon
 
Kumbe kunusurika kifo katika ajali inawezekana!

Muache kumshambulia deus Mallya.
 
Back
Top Bottom