Mr Nice apigwa?

Kapigwa chupa halafu haya mabaka meusi yaliyojaa usoni ni vipi?
 
Jamaaa kwa mujibu wa clouds fm jana kapewa kichapo wakamvua nguo na kumtupa kwenye kiwanja saa 8 usiku mwenye nyeti zaidi...
 
Pole kaka ndio maisha hayo, kumiliki ustaa sio mchezo wenzako wanakuwa na mabaunsa wanawalipa!!
 
Naskia... Kisa ni mke wa mtu... LOL "Mahimbo"wake CHIBOKO! Yaani badala ya kwenda mahakamani...kama mwenzake yeye kamchezesha LIGWARIDE! Hawajam-duuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…