MNDEE JF-Expert Member Joined Jul 10, 2009 Posts 491 Reaction score 68 Jul 30, 2010 #21 Kapigwa chupa halafu haya mabaka meusi yaliyojaa usoni ni vipi?
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 752 Sep 6, 2010 #22 Jamaaa kwa mujibu wa clouds fm jana kapewa kichapo wakamvua nguo na kumtupa kwenye kiwanja saa 8 usiku mwenye nyeti zaidi...
Jamaaa kwa mujibu wa clouds fm jana kapewa kichapo wakamvua nguo na kumtupa kwenye kiwanja saa 8 usiku mwenye nyeti zaidi...
K KABAZI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2010 Posts 303 Reaction score 11 Sep 7, 2010 #23 Pole kaka ndio maisha hayo, kumiliki ustaa sio mchezo wenzako wanakuwa na mabaunsa wanawalipa!!
M mapambano JF-Expert Member Joined Mar 14, 2008 Posts 535 Reaction score 14 Sep 8, 2010 #24 Mr Nice apigwa picha chafu - Global Publishers Pole sana, hao waliofanya uhalifu watapatika
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,551 Reaction score 2,153 Sep 8, 2010 #25 Naskia... Kisa ni mke wa mtu... LOL "Mahimbo"wake CHIBOKO! Yaani badala ya kwenda mahakamani...kama mwenzake yeye kamchezesha LIGWARIDE! Hawajam-duuu?
Naskia... Kisa ni mke wa mtu... LOL "Mahimbo"wake CHIBOKO! Yaani badala ya kwenda mahakamani...kama mwenzake yeye kamchezesha LIGWARIDE! Hawajam-duuu?