Mr Nice awatolea povu wanaomsema vibaya aanika utajiri wake insta

Acha dharau,weka yako yenye kiwango

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo nyumba na hicho kigari cha kawaida sana aisee.

Hapo kazidi kujidhalilisha tu ,kajumba gani sasa hako cha kujidai nacho?
 
Sasa mbona mindala hovyoo hapo chini,,ungo lo,,we Nice picha za insta za dunia nyinginee bana siku nyingine usirudie
 
Jamaa hapendi kujionyesha ila wamemsema had kaamua kuonyesha baadh

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Bado hajijibu tuhuma za ngwengwe, Diana Astonvilla alimuweka katika listi ya watu watakaomfuata shimo la hewa
 
Mnaojua tafsiri ya neno utajiri tunaomba msaada wenu, naona huku tunakoelekea mtu akiwa na vitu vyake kadhaa ataviita utajiri wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…