Ingekua vizuri ukaonesha nyumba yakoAnatafuta kiki ana kibanda sio nyumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekua vizuri ukaonesha nyumba yakoAnatafuta kiki ana kibanda sio nyumba
Ukijibiwa ni tag.... Fasta
Kweli kabisaWote wanaobisha wana akili za kimaskini.
Na haujui ni jinsi gani fikra za kudhani mwenzako hawezi kufanya jambo fulani ina athiri destiny pia ya maisha yako.
Ni sawa sawa na mtu kuwa unafikiria mafanikio yana hati miliki kitu ambacho sio kweli.
Kwenye kutafuta pesa hakuna hati miliki,,, utapata kadri unavotafuta na kadri unavoisumbua akili yako.
Period
Sent using Jamii Forums mobile app
aisee weka ya kwako hapa! si ajabu unaishi kwa shemeji yako...kujenga si kazi ya mchezo muwe mnaheshimu nyumba za watu ambazo mnaita vibanda! shame on u..Anatafuta kiki ana kibanda sio nyumba
Nilijua tu ile kuonekana kwenye kideo cha Harmonize ni njia ya kurejea upya maskioni mwa watu, soon utasikia ametoa wimbo. Halafu nitakuwa wa mwisho kuamini hiyo nyumba ni ya Mr. Nice, japo haina kiwango ila kwa akili ya huyo jamaa hawezi kuwa na nyumba hata hiyo, labda itakuwa ya huyo mamaake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaojua tafsiri ya neno utajiri tunaomba msaada wenu, naona huku tunakoelekea mtu akiwa na vitu vyake kadhaa ataviita utajiri wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muulize yule aliyetoa tafsiri ya kiwanda, hata ukiwa na nini sijui ila nne basi una kiwanda.......dadeki
Kaandika kwa kutumia maneno ya kike sana,napata shida sana na huyu jamaa kama mamikunjo anayo.Mtoto wa kiume huwezi andika mfyuuuuuuuuuuuuuuu au kuongea hivyo
Ila dah bata kavaa nailoni iliniingia sana wakati huo🙂🙂
Si uweke yako ma wewe tuoneNilijua tu ile kuonekana kwenye kideo cha Harmonize ni njia ya kurejea upya maskioni mwa watu, soon utasikia ametoa wimbo. Halafu nitakuwa wa mwisho kuamini hiyo nyumba ni ya Mr. Nice, japo haina kiwango ila kwa akili ya huyo jamaa hawezi kuwa na nyumba hata hiyo, labda itakuwa ya huyo mamaake
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora alivyoonyesha mali zake watu walizidi
...wewe unavyoweza kutambua yai bovu,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muulize yule aliyetoa tafsiri ya kiwanda, hata ukiwa na nini sijui ila nne basi una kiwanda.......dadeki
Ww unayo kama hiyo..?? Acha dharau za kike mkuu... karibia nusu ya raia wa TANZANIA hawajafikia kujenga nyumba kama hiyo.. na huo ndio ukweli..Anatafuta kiki ana kibanda sio nyumba