CARDLESS JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 7,840 Reaction score 15,918 Aug 10, 2017 #101 laki si pesa. said: Mr.Nice akaunti yake ilishawahi kugonga 1 BILION........leo ndio anaishi hivi inasikitisha sana Click to expand... Hiyo pesa hata diamond wa sasa hivi hawezi fikisha kwenye account yake.... sembuse mr nice ambaye kipindi kile musiki haukuwa na pesa kama sasa... walimu wa kiswahili mnapenda kutaja pesa hovyo bila hata ya kujua 1bil inafananaje.. Sent using Jamii Forums mobile app
laki si pesa. said: Mr.Nice akaunti yake ilishawahi kugonga 1 BILION........leo ndio anaishi hivi inasikitisha sana Click to expand... Hiyo pesa hata diamond wa sasa hivi hawezi fikisha kwenye account yake.... sembuse mr nice ambaye kipindi kile musiki haukuwa na pesa kama sasa... walimu wa kiswahili mnapenda kutaja pesa hovyo bila hata ya kujua 1bil inafananaje.. Sent using Jamii Forums mobile app