Mr. Nice hakujua mziki ni Upepo tu ulimpitia

Mr. Nice hakujua mziki ni Upepo tu ulimpitia

Rumi96

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2019
Posts
818
Reaction score
1,975
Wakuu!

Leo nilikua YouTube kutazama nyimbo za Mr Nice!, jamaa hamna kitu, makelele mengi kama mlevi.

Arudishe bando, mpuuzi yule, nadhani Kameta ndiye alitakiwa amiliki nyimbo, sio hili li jamaa, wimbo wa first lady linabweka bweka mbele ya demu mzungu.

Ndiyo maana umepotea! Majivuno tu. Umemponza hadi Alikiba, anajikuta msanii wa ulimwengu.



Pesa zilishaisha.
 
Kwa kipindi kile jamaa alikuwa na swaga kuliko wasanii wengine na alikuja na style yake kama bolingo vile inakuja inakataa,kama bongo fleva inakuja inakataa

MONEY STOP NONSENSE
 
mr nice ni msanii bora kabisa wa zama zake coz alikuja na IDENTITY yake pekee kwa game
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

yess BishOoo haSwaaaaaaaH[emoji111]
 
Back
Top Bottom