Leo nilikua YouTube kutazama nyimbo za Mr Nice!, jamaa hamna kitu, makelele mengi kama mlevi.
Arudishe bando, mpuuzi yule, nadhani Kameta ndiye alitakiwa amiliki nyimbo, sio hili li jamaa, wimbo wa first lady linabweka bweka mbele ya demu mzungu.
Ndiyo maana umepotea! Majivuno tu. Umemponza hadi Alikiba, anajikuta msanii wa ulimwengu.
Kwa kipindi kile jamaa alikuwa na swaga kuliko wasanii wengine na alikuja na style yake kama bolingo vile inakuja inakataa,kama bongo fleva inakuja inakataa