We need Marlow where are you? 2010 Na wimbo Wa pipi piiip wapinzani2005 alitumika kama kondomu leo ndio tumsaidie? haiwezekani, amesababisha madhila mengi..apelekewe zile bajaji zimtoe kahama mpaka Bugando
arudishe kwanza kadi ya ccm ndipo tumpe msaada
CCM wamchangie jamani
Huyu ndie alisema wengi watamfuata akiwepo na Choki ??
wacha zako wewe alichotupa tulishamlipa zamani kwa kuhudhuria shw zake a kununua kazi zake!na alichopata alitumia vizuri kutuchukulia mademu zetu!hatudai fadhila zozote kwake!tusiangalie alitumia na nani ila tuangalie alituburudisha vipi. hadi watoto waliimba kuku kapanda baiskeli na bata kavaa raizoni. leo yeye kesho sisi. mtoa mada atoe namba ya sm ya mr. nice watu watoe misaada. mr. gadner abash simamia game homeboy wetu arudi kwenye game.
haiwezekani awaingizie faida wengine.....anaumwa mimi niingie gharama za kumtibuKwenye mambi ya ugonjwa siasa tupa kule. Ningekuona wa maana kama huu ujumbe ungempa baada ya kumsaidia ili wengine pia wapate fundisho! Kwanza unajuaje huenda hata sasa hivi alikwisha hamia UKAWA. Msilete justification zenu za kutotaka kumchangia. Kama hutaki kumsaidia potezea sio kuleta mambo ya kijinga. Anayehusika/ mod hebu weka namba tunaotaka tutamchangia.
huu ndio unafki wenyewe....lazima tuwe wakweli daima kwamba bosi wake ingali bado ana uwezo mkubwa (ccm)hii ni roho chafu sana na mungu akusamehe sana, wala mungu asitufikishe huko watanzania wenyewe kwa wenyewe kufikia kwamba hatusaidiani kwenye mambo ya jamii kisa siasa, hapo ndo mwisho wako wa kuwaza kweli bora ungekaa kimya, hata mungu hayuko radhi kwa hili.
Ujamaa was MWALIMU Nyerere unatuzoesha vibaya yaani watu wakiwa na fedha wanakula bata tu na watoto wakali km vile hakula kesho zen wakifulia et wachangiwe !!! Tunazoeshana vibaya kila MTU atakufa na ujinga wake
Hakuna kuoneana noma
Wakati anazo alitumia na nan?
Huko Kahama alienda kufanya nini? Na ugonjwa umemuanza lini? Pole kama ni kweli Luka Mkenda