Mr. Nice hoi taabani Kahama mjini

Mr. Nice hoi taabani Kahama mjini

2005 alitumika kama kondomu leo ndio tumsaidie? haiwezekani, amesababisha madhila mengi..apelekewe zile bajaji zimtoe kahama mpaka Bugando
We need Marlow where are you? 2010 Na wimbo Wa pipi piiip wapinzani
 
arudishe kwanza kadi ya ccm ndipo tumpe msaada

hii ni roho chafu sana na mungu akusamehe sana, wala mungu asitufikishe huko watanzania wenyewe kwa wenyewe kufikia kwamba hatusaidiani kwenye mambo ya jamii kisa siasa, hapo ndo mwisho wako wa kuwaza kweli bora ungekaa kimya, hata mungu hayuko radhi kwa hili.
 
Mzee wa kidali po...hajatoka hospitali bado?
 
tusiangalie alitumia na nani ila tuangalie alituburudisha vipi. hadi watoto waliimba kuku kapanda baiskeli na bata kavaa raizoni. leo yeye kesho sisi. mtoa mada atoe namba ya sm ya mr. nice watu watoe misaada. mr. gadner abash simamia game homeboy wetu arudi kwenye game.
wacha zako wewe alichotupa tulishamlipa zamani kwa kuhudhuria shw zake a kununua kazi zake!na alichopata alitumia vizuri kutuchukulia mademu zetu!hatudai fadhila zozote kwake!
 
Kwenye mambi ya ugonjwa siasa tupa kule. Ningekuona wa maana kama huu ujumbe ungempa baada ya kumsaidia ili wengine pia wapate fundisho! Kwanza unajuaje huenda hata sasa hivi alikwisha hamia UKAWA. Msilete justification zenu za kutotaka kumchangia. Kama hutaki kumsaidia potezea sio kuleta mambo ya kijinga. Anayehusika/ mod hebu weka namba tunaotaka tutamchangia.
haiwezekani awaingizie faida wengine.....anaumwa mimi niingie gharama za kumtibu
bado mabosi zake ccm wana hela mingi nadhan hawatashindwa kumtibia huyu jamaa
 
hii ni roho chafu sana na mungu akusamehe sana, wala mungu asitufikishe huko watanzania wenyewe kwa wenyewe kufikia kwamba hatusaidiani kwenye mambo ya jamii kisa siasa, hapo ndo mwisho wako wa kuwaza kweli bora ungekaa kimya, hata mungu hayuko radhi kwa hili.
huu ndio unafki wenyewe....lazima tuwe wakweli daima kwamba bosi wake ingali bado ana uwezo mkubwa (ccm)
yeye kidalipo alipata hela akawa anawatoboa dada zetu.

akifa ndio nitamsifu...kwa kuwa si utamaduni wetu kuisema maiti
 
Ujamaa was MWALIMU Nyerere unatuzoesha vibaya yaani watu wakiwa na fedha wanakula bata tu na watoto wakali km vile hakula kesho zen wakifulia et wachangiwe !!! Tunazoeshana vibaya kila MTU atakufa na ujinga wake
Hakuna kuoneana noma
 
Hivi mwaka huu hawakumchukua!!jamani ccm wana laana!
 
Ujamaa was MWALIMU Nyerere unatuzoesha vibaya yaani watu wakiwa na fedha wanakula bata tu na watoto wakali km vile hakula kesho zen wakifulia et wachangiwe !!! Tunazoeshana vibaya kila MTU atakufa na ujinga wake
Hakuna kuoneana noma

Kweli kabisa jamaa yangu umesema sawa
 
Back
Top Bottom