Mr. Nice hoi taabani Kahama mjini

Mr. Nice hoi taabani Kahama mjini

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    16.3 KB · Views: 1,637
Pole sana wadau....

Ila nakumbuka CCM ilimtumia sana 2005 kwenye kampeni zao, saizi wamemsahau duuuh

Kila siku huwaga nasema, wasanii wa Bongo muache kutumika kama taulo,ambalo hukumbukwa tu wakati wa kuoga.
 
CCM walimtumia wamemtupa

Kwenye mambi ya ugonjwa siasa tupa kule. Ningekuona wa maana kama huu ujumbe ungempa baada ya kumsaidia ili wengine pia wapate fundisho! Kwanza unajuaje huenda hata sasa hivi alikwisha hamia UKAWA. Msilete justification zenu za kutotaka kumchangia. Kama hutaki kumsaidia potezea sio kuleta mambo ya kijinga. Anayehusika/ mod hebu weka namba tunaotaka tutamchangia.
 
Back
Top Bottom