Mr. Nice hoi taabani Kahama mjini

Mr. Nice hoi taabani Kahama mjini

Niliona kwenye ukurasa wake wa facebook amedai source ya ugonjwa wake ni chakula cha sumu alichokula
 
2005 alitumika kama kondomu leo ndio tumsaidie? haiwezekani, amesababisha madhila mengi..apelekewe zile bajaji zimtoe kahama mpaka Bugando
 
Pole sana wadau....

Ila nakumbuka CCM ilimtumia sana 2005 kwenye kampeni zao, saizi wamemsahau duuuh

hawa wa sanii ni mambulula sana. Sasa hivi wamejazana kwenye kampeni za ccm.

Wakiugua wanatupa shida. Ni laana ya kuwasaliti wa tanzania. Hata hawa wataipata fresh yao,
 
2005 alitumika kama kondomu leo ndio tumsaidie? haiwezekani, amesababisha madhila mengi..apelekewe zile bajaji zimtoe kahama mpaka Bugando

Dah,Mkuu taratibu tuwe na huruma hata kidogo. Teh teh tehe.
 
Mlio karibu na hospital tafadhali tukamjulie hali pia namba ya m pesa ikiwekwa tuchangie haitakua vibaya.
Pole Mr. Nice Mungu akujaalie upone haraka
 
Kwenye mambi ya ugonjwa siasa tupa kule. Ningekuona wa maana kama huu ujumbe ungempa baada ya kumsaidia ili wengine pia wapate fundisho! Kwanza unajuaje huenda hata sasa hivi alikwisha hamia UKAWA. Msilete justification zenu za kutotaka kumchangia. Kama hutaki kumsaidia potezea sio kuleta mambo ya kijinga. Anayehusika/ mod hebu weka namba tunaotaka tutamchangia.

Sasa mkuu we unafikiri wanaotoa majibu ya ovyo wanauwezo wa kumsaidia? Izi fake ID zinaficha mengi sana binadamu mwenye upeo na utashi hawezi kuropoka mi hata kama Lowasa akizidiwa na uwezo ninao nampa msaada kama binadamu mwenzangu kwanza hafu tukikutana kwenye majukwaa vijembe kama kawaida.
 
2005 alitumika kama kondomu leo ndio tumsaidie? haiwezekani, amesababisha madhila mengi..apelekewe zile bajaji zimtoe kahama mpaka Bugando

japo tunampa pole ila iwe ni funzo kwa wasanii wengne kuwa CCM wanakutumia kwa manufaa yao then wanakutupa.CCM MBA
YA SANA KUWENI MAKINI MNAOTUMIKA WAKATI!!!!
 
tusiangalie alitumia na nani ila tuangalie alituburudisha vipi. hadi watoto waliimba kuku kapanda baiskeli na bata kavaa raizoni. leo yeye kesho sisi. mtoa mada atoe namba ya sm ya mr. nice watu watoe misaada. mr. gadner abash simamia game homeboy wetu arudi kwenye game.


Hilo nalo neno mkuu.,yule ni binadam kuna waovu wengi na wakibuma wanasaidiwa seuze yeye.?
Tenda wema wende zako .hakimu wa haki ni Mungu tu.
 
Msanii wa kizazi kipya Mr.Nice amelazwa ktk dispensary ya Frorida mjini kahama...Ndugu jamaa na marafiki tunaomba msaada wenu kwani hata kula anakula kwa mpira na choo pia anatumia mpira..fika dispensary ya Frorida mtamkuta...

Duuu adi choo mpira kweli qwikwii
 
Back
Top Bottom