Kufuga kuku ndio basi tena?Subaiiii
Eti naskia jamaa anaendesha bodaboda kweli maisha yanashuka na kupanda.
Tumuombee Mungu arudi kwenye charti aisee.....Kwa hiyo ndo unataka kusema jose chameleone nae atakuja kuendesha boda acha hizo bosi!Hata huyu mshikaji anaweza kurudi na kuwa kifaru mkubwa tu!Mapambano ya maisha si yanaendelea!Hakuna mbaya yeye alisongeshe hivo hivo atatoboa tu!
Aah! Thubutu pale pamesha pita basi tena.Tumuombee zaidi maisha yarudi km zaman
Sio hatari ni kazi km kazi zingine.
Ila jamaa si alikuwa celebrity ana mpunga mrefu.
tujifunze tu kupitia kwake kwa mabaya na mazuri yaliyomtokea
Nitafanya hivyo mkuu ila na mimi niombee nifikie utajiri alokuwa nao hata kama nitakuja kuendesha boda poa tu!Tumuombee Mungu arudi kwenye charti aisee.....
Utajiri mkubwa una siri nyingi sana.Nitafanya hivyo mkuu ila na mimi niombee nifikie utajiri alokuwa nao hata kama nitakuja kuendesha boda poa tu!
dah! Bora aendeshe hyo bodaboda kuliko kukaa kijiwen na kupata msongo wa mawazo na mwishowe kubwia unga na kuwa na kichwa kama ball fitting mfano jamaa yetu yule aliyetoboagaaaa puaSubaiiii
Eti naskia jamaa anaendesha bodaboda kweli maisha yanashuka na kupanda.
Ushauri mzuri. Ahsante kwa kunifunza maana ya liabilities kwa kiswahili-dhima.Msilaumu maisha kama amefilisika "kweli" basi lawama apewe yeye mwenyewe Mr. Nice. Watu tunakuwa wa ajabu sana kila kitu lazima tutafute pa kuangushia lawama. Mara "Maisha" mara "shetani" mara "wachawi" kila mtu ana anatafuta pa kuangushia lawama.
Maisha yako ni matokeo ya matendo yako, hakuna wa kulaumiwa zaidi yako mwenyewe. Na wale wanafiki wanaojifanya wanaouliza "cha ajabu kipi" kwa Mr. Nice kufilisika mpaka kufikia kuendesha "boda boda" lazima watakuwa na wanamatatizo kichwani au zaidi ya hapo.
Ni pa kujifunza ukipata pesa usiwekeze kwenye dhima "liabilities" wekeza kwenye mali "asset" zitakazokuletea pesa kukidhi mahitaji ya kila siku. Mkipata pesa ni baloon, mark x, gambe, pamba, wakina Lulu kwanini usije kuendesha boda boda baadae.