Mr Nice now blames God for his downfal

Mr Nice now blames God for his downfal

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
In a shocking move, Lucas Mkenda popularly known as Mr Nice, has come out to explain his miserable downfall in music terming it as God’s plan.

In a recent media interview, the Kidalipo hit maker said that he once had more than 1.5 billion shillings in his various bank accounts and he does not understand how and where all that money disappeared to.

"Kaka naweza kusema hii ni mipango ya Mungu tu kwani sikuwahi kumdhulumu mtu wala kuiba cha mtu pesa yote nilikuwa naipata kwa hali naweza kusema hii ni mipango ya Mungu tu wala si mkono wa mtu" he said

"Niliwahi kumiliki zaidi ya milioni elfu moja na mia tano kwenye bank tofauti hapa nchini pesa hizo zilitokana kufanya shoo nyingi za nje ya nchi kama Marekani, Uingereza, Ujerumani, Sweden, Holand, Dubai, Afrika Kusini na kwingineko na kila shoo nilikuwa napata pesa ndefu sana" he added during the emotional interview.

The star also talked about his numerous worldwide shows saying that the most memorable show he remembers and which makes him cry up-to today is a show in Rwanda when he found a Rwandese Minister waiting for him on the red carpet at the airport with a multitude of fans complete with a military escort just for him. The legendary singer has been making frantic efforts to bounce back into the music industry.

Is it right for Mr Nice to blame God for his down-fall?
 
Hiyo sebule ndogo ila inavutia
 
Mkipata vijisent mnatusumbua hapa mjini,mirija ya pesa ikikata mnamsingizia Mungu
 
Ni kweli Mungu ndio kapanga maana alikuwa ana nyodo na jeuri sana huyu mtu aiseee.Alikuja mtaani kwetu kinondoni enzi za uhai wa nyimbo zake,alikuwa na kimada yule aliyekuwa mnenguaji wa bendi,akakuta wazee watu wazima wanacheza bao,hata salamu hakuwapa akawaambia wamlindie gari yake atawalipa.

Mungu kamuonyesha sasa
 
Mr Nice alisema juzi juzi alikuwa anatembea na msafara wa magari zaidi ya kumi na air condition za magari yalikuwa hayazimwi kuanzia asubuh ata kama hawapo kwenye magari.

Baa alikuwa anatoa ofa kwa kila mtu. Alichukua mademu za watu wengi. Leo anamlalamikia mungu ndio chanzo cha yeye kushuka.hii si sahihi
 
siku zote tukipata tunasahau kushukuru ila tukikosa ndo mabingwa wa kulaumu.
 
Huyu jamaa anasikitisha sana. Nakumbuka nikiwa cha tano Mzumbe 2003. Kila zama na kitabu chake etii.
 
MUNGU hafurahii pesa za udhalimu, unapewa nafasi nyingine ya kuishi ili UOKOKE mr. Nice lakini usipojua hili utaendelea kulalamika hadi mwisho.
 
The simple fact of life Mr Nice should know is that he didn't know how to spend the money
he earned! As simple as that.Blaming God who enabled him to perform and earn is an extension
of his foolishness.
 
du jamaa kafulia kabaki kutoa lawama hii ni kali aiseee
 
Alikuwa nazo hizo fedha anazosema?,swali alijaribu kujifikiria kama ipo siku atashuka kimuziki? Yeye alilewa sifa na kudhani ndio kamaliza maisha na hatoweza tena kushuka ngazi. Alijisahau sana na alikuwa mpondaji maisha,akajisahau kujiwekeza. Sasa leo hii anamlaumu MUNGU,kufulia amejitakia mwenyewe coz ukimuuliza kitu gani ambacho ni asset yako sijui km anacho hata kimoja!!
 
Mwenzako analalamika kafulia we unamsifia sebule ndogo anayoimiliki <japo inaweza kua si mali yake PIA>kutoka bil 1.5 mpaka puu.mbu mbaya hatari ati.
 
Kichwa cha mada hakilingani na habari....Mr. Nice hajasema anamlaumu Mungu bali anadai ni mipangilio ya Mungu na hawezi kumlaumu yeyote. Kuwa makini wa kupost
 
Kichwa cha mada hakilingani na habari....Mr. Nice hajasema anamlaumu Mungu bali anadai ni mipangilio ya Mungu na hawezi kumlaumu yeyote. Kuwa makini wa kupost

Kwa hiyo mungu ndio aliofanya atumie pesa kwa anasa na kunyanyasa watu na kuchukua mademu za watu?

Hiyo si mipango bali ni matokeo aliyokisanabishia yeye akishirikiana na shetani.

Wala uwezi jitetea kwa kumuhusisha mungu. Kama wewe ni kama mr nice inabidi ujifunze makosa ya watu
 
Back
Top Bottom