shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
swali zurHivi duration ya kuchukua dawa ikoje?
Unakunywa mara ngapi kwa mwezi?
Yule dada aliezaa na Mr Nice mtoto wa kiume alikuwa Lilian Internet au Diana Aston Villal?
Nasikia jamaa alikuwa hana noma, hata kaka poa alikuwa anasomba.
Kunani peteNimeiona hiyo pete..
Alikuwa kwanii mjomba Mkude Simba sasa hayupo?Yule dada aliezaa na Mr Nice mtoto wa kiume alikuwa Lilian Internet au Diana Aston Villal?
Mwache ajifurahishe kwa muda lakini shughuli ipo palepale hata udanganye vipi,walikula ya mbuzi pamoja na kosovoAs if ukimwi unaonekana kWa macho anavyomuuliza mwandishi
Kiwanda cha vilevi na kwa mzee kijana ndo wapi na ni nani huyo?Mr Nice toka ameweka sumu kwenye kile kiwanda cha vilevi kule kwa mzee kijana bado anahaha tu na maisha;
alitaka auwe wengi kwa mpigo MUNGU akaokoa jahazi.
Anadhani kwamba hatujui afya yake ni mgogoro hata kabla ya hizo kampeni.. kimsingi tunajua kwamba ameungwa kwenye grid yataifa kitambo tu..mtandao wake unaondoka kwa kasiWe singizia sumu tu Mungu anakuona, halafu ni kwanini wasanii wa bongo wanakimbilia sana Kenya mambo yao yakichacha hapa bongo, huo ndio mtelemko ee? Kwanini hamkimbilii Uganda?
Mkuu inategemea na aina ya dawa unayotumia. Kuna zingine unameza Mara mbili kwa siku mbano yaani viwili asubuhi na viwili jion,kimoja asubuh na pia kimoja jion. Zingne una meza kimoja tu kwa siku. Kwa hyo inategemea na aina unayotumia. Na keep in ur mind kuwa dawa hizi ziko in combination.Hivi duration ya kuchukua dawa ikoje?
Unakunywa mara ngapi kwa mwezi?
Kwa hyo kwa mwez unaweza either kumeza vidonge 30 km unatumia mfano TLE au 1g. Ila km unatumia let's say atazanavir/Ritonavir plus Emitricatine/Tenofovir. Kwa dawa zote hizi maana ake kwa siku utameza vidonge viwili kwa siku na vidonge 60 kwa mwezi.Hivi duration ya kuchukua dawa ikoje?
Unakunywa mara ngapi kwa mwezi?
[emoji23][emoji23][emoji23]We singizia sumu tu Mungu anakuona, halafu ni kwanini wasanii wa bongo wanakimbilia sana Kenya mambo yao yakichacha hapa bongo, huo ndio mtelemko ee? Kwanini hamkimbilii Uganda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana kwa kunyanyapaliwa.