Mr Nice: Sina UKIMWI ila nililishwa sumu wakati wa kampeni.

Mr Nice: Sina UKIMWI ila nililishwa sumu wakati wa kampeni.

Nasikia jamaa alikuwa hana noma, hata kaka poa alikuwa anasomba.

[emoji15][emoji15][emoji15]kumbe Mr.Nice chai yake imemwagika alikuwa anabadilisha wasenge duhhh,ubaya chai yako imwagike akiri ibaki unaweza kuisaka.ila enzi zile sikatai kabisaa kwa huyu jamaa.sasa hivi analaumu alipoangukia na anaomba kiama kije wote tufe[emoji1][emoji1]
 
Skendo yake ya kununua.mashoga sijui.magomeni.imeishia wapi????
 
Unaweza ukawa HIV positive lakini usiwe na ukimwi.ukimwi ni final stage ya mgonjwa.wengi siku izi wapo positive lakini unakuta anadondoka na pressure na kufariki akiwa na afya Tele huwezi kasema ukimwi umemuua.
 
Mr Nice toka ameweka sumu kwenye kile kiwanda cha vilevi kule kwa mzee kijana bado anahaha tu na maisha;
alitaka auwe wengi kwa mpigo MUNGU akaokoa jahazi.
 
Ananini mpaka alishwe sumu kwa mambo ya kisiasa?
 
Mr Nice toka ameweka sumu kwenye kile kiwanda cha vilevi kule kwa mzee kijana bado anahaha tu na maisha;
alitaka auwe wengi kwa mpigo MUNGU akaokoa jahazi.
Kiwanda cha vilevi na kwa mzee kijana ndo wapi na ni nani huyo?
 
We singizia sumu tu Mungu anakuona, halafu ni kwanini wasanii wa bongo wanakimbilia sana Kenya mambo yao yakichacha hapa bongo, huo ndio mtelemko ee? Kwanini hamkimbilii Uganda?
Anadhani kwamba hatujui afya yake ni mgogoro hata kabla ya hizo kampeni.. kimsingi tunajua kwamba ameungwa kwenye grid yataifa kitambo tu..mtandao wake unaondoka kwa kasi
 
Hivi duration ya kuchukua dawa ikoje?
Unakunywa mara ngapi kwa mwezi?
Mkuu inategemea na aina ya dawa unayotumia. Kuna zingine unameza Mara mbili kwa siku mbano yaani viwili asubuhi na viwili jion,kimoja asubuh na pia kimoja jion. Zingne una meza kimoja tu kwa siku. Kwa hyo inategemea na aina unayotumia. Na keep in ur mind kuwa dawa hizi ziko in combination.
 
Hivi duration ya kuchukua dawa ikoje?
Unakunywa mara ngapi kwa mwezi?
Kwa hyo kwa mwez unaweza either kumeza vidonge 30 km unatumia mfano TLE au 1g. Ila km unatumia let's say atazanavir/Ritonavir plus Emitricatine/Tenofovir. Kwa dawa zote hizi maana ake kwa siku utameza vidonge viwili kwa siku na vidonge 60 kwa mwezi.
Kuhusu siri za wagonjwa wanaoishi na virus vya ukimwi Mara nying wagonjwa wenyewe ndio wanaovujisha siri za wenzao huko mitaani
 
We singizia sumu tu Mungu anakuona, halafu ni kwanini wasanii wa bongo wanakimbilia sana Kenya mambo yao yakichacha hapa bongo, huo ndio mtelemko ee? Kwanini hamkimbilii Uganda?
[emoji23][emoji23][emoji23]

nYaNi wA KaLe
 
Juzi tu nilisema reseaech ya wa-Faransa wanasema nisubyabwatubwaliofanyiwa majaribio wamepona dawa yao imeweza kuactivate virus walioko mafichoni na kuwaua lakini Marshal ni nusu ya wasionufaika na dawa hiyo kwahiyo research bado inaendelea
 
Back
Top Bottom