nYaNi wA KaLe
Senior Member
- Jul 12, 2017
- 159
- 65
hivi na gk mbona usoni kama anapaka maji ya mshumaa au dizain kama anaogea maji ya chumvi??
Kwani kiba ni msanii mkubwa?Na huko wanamuona msanii mkubwa sana kama sisi wabongo tunavomuona alikiba huku kwetu kimuziki...
Habari yako SissyJuzi tu nilisema reseaech ya wa-Faransa wanasema nisubyabwatubwaliofanyiwa majaribio wamepona dawa yao imeweza kuactivate virus walioko mafichoni na kuwaua lakini Marshal ni nusu ya wasionufaika na dawa hiyo kwahiyo research bado inaendelea
Kaka poa ukimaanisha mashoga alikuwa anapita nao[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Nasikia jamaa alikuwa hana noma, hata kaka poa alikuwa anasomba.
Ndiyo maana yakeKaka poa ukimaanisha mashoga alikuwa anapita nao[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga na ww hujaelewa nin hapoSema Mwanamuziki. Kama wasanii wapo sana.
Dah jamaa alionyesha unyanyapaa wa hali ya juu aiseeeKuna dada mmoja aliwahi kuniambia kuwa tangia agundulike alikaa mwaka mzima bila kumtembelea ndugu, akiwa kama mtoto wa kike pekee kwenye familia, alimtembelea kaka yake mkubwa, basi alipotulia aliamua kumweleza kaka yake juu ya ugonjwa, kaka alimwambia asitumie choo pamoja na watoto wake, kwakweli aliumia sana, anajuta kwanini alisema.
Labda mwanachama huwez juahabari za HIV unazipenda sana dada angu why?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mr Nice toka ameweka sumu kwenye kile kiwanda cha vilevi kule kwa mzee kijana bado anahaha tu na maisha;
alitaka auwe wengi kwa mpigo MUNGU akaokoa jahazi.
Dawa unakunywa kila siku, kwa cases nying kidonge kimoja kila siku, kuna vidonge viwili na vitatu, depends on dosage ambayo dactari nime prescribeswali zur
Hivi unaweza ukawa unatumia dawa na beer unapiga Sky?Tena unasukumia hata na glass ya beer mambo mswano.
Inawezekana lakini usiwe mlevi wa kusahau kunywa dawa zako on time pia usinywee mpaka ulichoshe ini
Lazima watakuwa CHADEMA tu ndio walitaka kumuua mr. Nice!