Mr Nice: Sina UKIMWI ila nililishwa sumu wakati wa kampeni.

Mr Nice: Sina UKIMWI ila nililishwa sumu wakati wa kampeni.

Juzi tu nilisema reseaech ya wa-Faransa wanasema nisubyabwatubwaliofanyiwa majaribio wamepona dawa yao imeweza kuactivate virus walioko mafichoni na kuwaua lakini Marshal ni nusu ya wasionufaika na dawa hiyo kwahiyo research bado inaendelea
Habari yako Sissy

nYaNi wA KaLe
 
Kuna dada mmoja aliwahi kuniambia kuwa tangia agundulike alikaa mwaka mzima bila kumtembelea ndugu, akiwa kama mtoto wa kike pekee kwenye familia, alimtembelea kaka yake mkubwa, basi alipotulia aliamua kumweleza kaka yake juu ya ugonjwa, kaka alimwambia asitumie choo pamoja na watoto wake, kwakweli aliumia sana, anajuta kwanini alisema.
Dah jamaa alionyesha unyanyapaa wa hali ya juu aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe Mr Nice bila hata kupima unaonekana una ngoma
 
Hivi mpo dunia gani?

Wengi bado tunajadili mambo kimazoea tu bila utafiti wowote.

HIV/AIDS imeshatoka kwenye orodha ya mambo/magonjwa kumi yanayosababisha vifo vingi kwa takwimu za kidunia.

Kinachozisumbua nchi za kiafrica (ambazo nyingi ni masikini na ukosefu wa elimu) ni kutotambua mapema kama mtu umeambukizwa...otherwise ni kati ya magonjwa yanayoweza kudhibitiwa ukilinganisha na mgonjwa mengine mengi tu.

Kama umegundulika una virusi vya ukimwi na jirani yako amegundulika ana kisukari (diabetes type 2), basi shusha pumzi na jione una afadhali...lakini cha ajabu jamii yetu itamuona mwenye virusi ndiye anaangamia na kumuona yule mwenye kisukari eti ana nafuu...tuna tatizo kubwa la elimu.

Miongoni mwa magonjwa/mambo tishio yasababishayo vifo vingi, yapo magonjwa ya moyo, kiharusi, ajali za barabarani, saratani ya mapafu, kisukari n.k.

Hebu tuache ulimbukeni.
 
Back
Top Bottom