Mr Nice😂😂😂 TZ baba lao East Africa😂😂😂

Mr Nice😂😂😂 TZ baba lao East Africa😂😂😂

Unapokufa haujui kama umekufa, maumivu huwa wanasikia watu wengine.

Haina tofauti kabisa na kuwa fala au mjinga.[emoji18]
 
Bora ya hivi kuliko kulamba midomo na kubinua macho kama Diamond..
 
Hawa Polisi wa Uganda hawana kazi ya kufanya.
 
1. Range Rover kakodi sio yake[emoji16]
2. Kamlipa posho mkuu wa kituo apewe escort na polisi[emoji3]
3. Kamuita Millard Ayo ampaishe[emoji3][emoji16]

Yote hii ni kutaka kuwaaminisha watz kwamba mambo yake bado safi, ila kiukweli jamaa kachoka hapo bado anayaota maisha aliyoishi huko nyuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom