Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Post za June hizi
Hataki kukubali kwamba kafulia.Asee.... Huyu jamaa anatumia nguvu nyingi sana kuaminisha uma kuwa mambo yake safi!
Zama zimeisha asee
Ahahahahahaaa Juliana kaanza tiarDr. Shika II ,MKONO wa NYANI umeanza kumpanda KICHWANI.
Kabisa MKONO wa NYANI ukipanda kichwani unaanza kupata WENGE kama la Dr. Shika.Ahahahahahaaa Juliana kaanza tiar
Anajifanyaga ana mamishiko balaaaHataki kukubali kwamba kafulia.