Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi anatumbuiza viti kwenye bar za vichochoroni,kwisha habari yake.Zilipendwa Huyu jamaa
Kawafunua sana nao sasa wanamfumuaMr. Nice ni msanii wa kwanza Tanzania kushika shilingi milioni moja ya pamoja, na ya kwake mwenyewe. Kabla ya hapo walikuwa wanaimba wapate mademu tu.
Mr Nice Akitoa ushauri kwa Wasanii wenzake na pia kuwa bado yupo kwenye Game