B bisacodly Member Joined Sep 17, 2017 Posts 10 Reaction score 0 Oct 9, 2017 #21 Kikulachooo kumbe kinguoni mwakooo hatari sana.......
baruti170 JF-Expert Member Joined Jun 24, 2014 Posts 555 Reaction score 393 Oct 9, 2017 #22 Hahaaa blazaaa .pambana na hali yako[emoji16][emoji16][emoji16]
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,904 Reaction score 8,371 Oct 10, 2017 #23 kim pyong yang said: Zilipendwa Huyu jamaa Click to expand... Siku hizi anatumbuiza viti kwenye bar za vichochoroni,kwisha habari yake.
kim pyong yang said: Zilipendwa Huyu jamaa Click to expand... Siku hizi anatumbuiza viti kwenye bar za vichochoroni,kwisha habari yake.
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,904 Reaction score 8,371 Oct 10, 2017 #24 PAGAN said: Mr. Nice ni msanii wa kwanza Tanzania kushika shilingi milioni moja ya pamoja, na ya kwake mwenyewe. Kabla ya hapo walikuwa wanaimba wapate mademu tu. Click to expand... Kawafunua sana nao sasa wanamfumua
PAGAN said: Mr. Nice ni msanii wa kwanza Tanzania kushika shilingi milioni moja ya pamoja, na ya kwake mwenyewe. Kabla ya hapo walikuwa wanaimba wapate mademu tu. Click to expand... Kawafunua sana nao sasa wanamfumua
HamisaBaby Member Joined Oct 6, 2017 Posts 80 Reaction score 25 Oct 12, 2017 Thread starter #25 HamisaBaby said: Mr Nice Akitoa ushauri kwa Wasanii wenzake na pia kuwa bado yupo kwenye Game Click to expand... Du
HamisaBaby said: Mr Nice Akitoa ushauri kwa Wasanii wenzake na pia kuwa bado yupo kwenye Game Click to expand... Du