elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Aisee jamaa anajua ligi ndo ya bill nas aliua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mr T touch na Clever Touch(sheddy clever)Mr t_touch awali alikuwa akifanya kazi na nay wa mitego katika studio za free nation ila aliamua kuondoka na kuanzisha studio yake inayojulikana Kama 'Touchez soud'
Touch ametayarisha asilimia kubwa ya nyimbo za nay wa mitego na kuondoka kwake ni pigo kubwa kwa msanii huyo.
Hizi ni baadhi ya nyimbo alizotengeneza siku za karibuni
1.angejua (dayna nyange)
2.chafu pozi (billinass)
3.Too much (DARASA)
4.Raha jipe mwenyewe (linah sanga)
5.jike shupa (nuh mziwanda)
Hizo ni chache ila zipo nyingi
Namtakia kila la kheri katika safari yake hii [HASHTAG]#touch[/HASHTAG] touch
Hata kibaka ya man fongo imebuma
Ashukuru alibahatisha hainaga ushemegi ila hamana msanii paleHawezi tena vunja rekodi yake mwenyewe ya hainaga ushemeji..
Hapa nakubaliana na Sholomwamba kwamba jamaa hana kipaji na nyimbo huwa anatungiwa ndo maana hata nyimbo akishirikishwa zinakuwa hovyo
Beat zake nzuri na anatengeneza kutokana na msanii kwa mfano hii ya timbulo na barakah kauwa sanaKweli...t-touch is the best prodee in Tanzania ata ney atamrudia tu coz joint zote za maana kafanyia Kwa yule jombaa mi napenda kumuita half-p.funk
nilishawah kuanzisha thread.ya man fongo kuhit na hainaga ushemej kipi kinafataHata kibaka ya man fongo imebuma
Hawa ma producer wana hit kwa kupokezana wasanii yaan utashangaa kila msanii anaenda kwa producer mmoja kila producer anakuwa na mwaka wakeMr t_touch awali alikuwa akifanya kazi na nay wa mitego katika studio za free nation ila aliamua kuondoka na kuanzisha studio yake inayojulikana Kama 'Touchez soud'
Touch ametayarisha asilimia kubwa ya nyimbo za nay wa mitego na kuondoka kwake ni pigo kubwa kwa msanii huyo.
Hizi ni baadhi ya nyimbo alizotengeneza siku za karibuni
1.angejua (dayna nyange)
2.chafu pozi (billinass)
3.Too much (DARASA)
4.Raha jipe mwenyewe (linah sanga)
5.jike shupa (nuh mziwanda)
Hizo ni chache ila zipo nyingi
Namtakia kila la kheri katika safari yake hii [HASHTAG]#touch[/HASHTAG] touch
Sasa hivi kidogo Una akiliHawa ma producer wana hit kwa kupokezana wasanii yaan utashangaa kila msanii anaenda kwa producer mmoja kila producer anakuwa na mwaka wake
Lamar
Marco Chali
Bob jr
Man walter
Maneck
Sheddy Clever
Emma the boy
Tudd Thomas
Nahreal
Naona sasa ivi n zamu ya Mr T Touch asipopiga ela kipindi ichi hatajuta
Ila combination yke na ney wa mitego ndo inafaa zaidi