Mr T Touch producer bora kwa sasa Tanzania

NAH REAL ANA HIT SONGS AMBAZO ZIMEGOMBANIA TUZO ZA KIMATAIFA
 
Kuna mr T touch na Clever Touch(sheddy clever)
aaah basi mororo...
 
Hata kibaka ya man fongo imebuma

Hawezi tena vunja rekodi yake mwenyewe ya hainaga ushemeji..

Hapa nakubaliana na Sholomwamba kwamba jamaa hana kipaji na nyimbo huwa anatungiwa ndo maana hata nyimbo akishirikishwa zinakuwa hovyo
 
Hawezi tena vunja rekodi yake mwenyewe ya hainaga ushemeji..

Hapa nakubaliana na Sholomwamba kwamba jamaa hana kipaji na nyimbo huwa anatungiwa ndo maana hata nyimbo akishirikishwa zinakuwa hovyo
Ashukuru alibahatisha hainaga ushemegi ila hamana msanii pale
 
Kweli...t-touch is the best prodee in Tanzania ata ney atamrudia tu coz joint zote za maana kafanyia Kwa yule jombaa mi napenda kumuita half-p.funk
Beat zake nzuri na anatengeneza kutokana na msanii kwa mfano hii ya timbulo na barakah kauwa sana
 
kwa huu mwaka. ni kweli wakunyumba mwenzangu anastahili.
 
Hawa ma producer wana hit kwa kupokezana wasanii yaan utashangaa kila msanii anaenda kwa producer mmoja kila producer anakuwa na mwaka wake
Lamar
Marco Chali
Bob jr
Man walter
Maneck
Sheddy Clever
Emma the boy
Tudd Thomas
Nahreal
Naona sasa ivi n zamu ya Mr T Touch asipopiga ela kipindi ichi hatajuta

Ila combination yke na ney wa mitego ndo inafaa zaidi
 
Sasa hivi kidogo Una akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…