Mr T Touch producer bora kwa sasa Tanzania

Hta mm nashangaa!!

Nahreel is the Best Music producer in Town ! Huyu jamaa ni moto wa kuotea mbali! Kama unajua kutega sikio kwenye muziki muzuri basi huto bisha katika hili! Kama wew umeziea makelele nasio good sound tutabishana milele na mimi muda huo sina
 
Naunga mkonyo hoja, jamaa ana kazi nyingi nzuri mwakahuu na mwakajana, anafuatiwa kwa ukaribu na Mensen Selekta. Ila hao wote wanatamba kwavile 'Babalao' Nahreel yuko bize na show tangu atoe kamatia chini, hivyo hana mda sana wa kuproduce
 
t-touch yuko vizuri. kwangu mimi ye ndo mwandaaji muzikí bora wa mwaka.
 
Hatajuta or atajuta?
 
Naunga mkonyo hoja, jamaa ana kazi nyingi nzuri mwakahuu na mwakajana, anafuatiwa kwa ukaribu na Mensen Selekta. Ila hao wote wanatamba kwavile 'Babalao' Nahreel yuko bize na show tangu atoe kamatia chini, hivyo hana mda sana wa kuproduce
Ila beat za t touch ni balaa Kama chafu pozi na too much zile beat ni shida
 
Kwa kweli mzee jamaa anagonga midundo yooote aysee n hatar sana huyu mtu kwa sasa.
 
Mwaka huu mkali ni Bizzman tu,huyu jamaa anajua saana, wiki hii katoa ngoma Inaitwa Mademu wa Kibongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…