Mr Ttouchez: Nikipata tatizo lolote mhusika Chidi Benz

Mr Ttouchez: Nikipata tatizo lolote mhusika Chidi Benz

Mkuu ni heri ukawa na bifu na bondia au mcheza karate au mfanya mazoezi yoyote Yule kwani mtaishia kupigana au kupigwa na case ikienda mbali sana ni polisi na kila mtu anarudi uraiani salama

Usidharau na wala usitake kabisa bifu na wala unga au mateja, hao hawana ugomvi wa kupigana ngumi kusema mtapanga speringi mpigane au wakupe nafasi ya kujipanga siku ingine

Bifu na mateja waga lina njia ya mkato tu, na wengi wanapotea kutokana na hizo dharau kama zako, Teja yeye anajua fika Hana uwezo wa kukupiga ata Kofi, atakimbilia kisu/panga au akutoboe toboe na bisibisi

Kumbuka wakati yeye anafanya hilo ni tofauti na mtu mwenye Akili timamu ambae anafikilia nini kitatokea badae, yeye anafanya hilo akiwa hajui nini kitatokea badae ata kama utakufa kutokana na shambulio lake ye hajali

kutokana na dharau kama hizi zimefanya wengi wamepoteza maisha yao au kupata ulemavu wa kudumu au ata kutumia gharama kubwa sana kwenye matibabu ilhali huyo Teja ata afungwe gerezani ye hana alichopoteza

Ni rahisi sana kwao kumpoteza mtu Kwa hela ndogo sana na wengi wanapotea kutokana na kuwadharau kwamba hawawezi kuwafanya chochote, wakishapewa uhakika wa kupata madawa ya kulevya ata kama ni elf 10 tu hawataki kujua kosa lako wala hawataki kujua we ni Nani

Alichofanya Mr touch ni sahihi sana tena zaidi ya sahihi na atakuwa kaambiwa ukweli na watu wanaowajua mateja vizuri, cheed itambidi arudishe majeshi nyuma kama ni kweli kisa hiki ni cha kweli, si polisi wala mwanajeshi anaeweza kukulinda dhidi ya teja hao jamaa kwenye matukio waga Wana speed of light
umeongea fact
 
This niqqa so mushy mane [emoji23][emoji23][emoji23] mwanaume unaogopa vipi kupambana? Can somebody play for this nigga the movie "Friday"...He must learn somethn out of it!

Kingine, maelezo hayana substance, Chidy must be on drugs ila sio kichaa yule, haimake sense someone trolling on you eti kisa alikuomba elfu 50 ukamkatalia. Theres more than that, likely dhuluma and he gots to pay the price mr. T fuckn touchez.

Hela ya muhuni hailiwi kizembe af unaleta dharau. Chidi is hood and gangsta[emoji23] let him prepare for some ass whoopin, kama T Touches alijiona mjanja kwenye show ya Zuchu its high time now.
afu we jamaa wewe
 
Watu wanajidai nyuma ya keyboard ohooo T mzembe sijui anatishiwaje na mbwia unga...my friend do not underestimate the power of the looser..he will not loose anything
 
Back
Top Bottom