Buza Kwa Mpalange
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 268
- 156
Subiri ujenzi ukamilike utapapendaLabda wanapanua mto msimu wa mafuriko upo karibu.nikipitaga pale bonde la Mkwajuni uwa nawaza hivi aiwezekani kupasua barabara ya kitokea pale Jangwani ikaungana na Morogoro road?.
Inawezekana ni Pesa tuLabda wanapanua mto msimu wa mafuriko upo karibu.nikipitaga pale bonde la Mkwajuni uwa nawaza hivi aiwezekani kupasua barabara ya kitokea pale Jangwani ikaungana na Morogoro road?.
Kweli mkuu.Inawezekana ni Pesa tu
Hata kupeleka baharini hadi pugu kupitia mto msimbazi na kuweka viboat inawezekana piaKweli mkuu.
Labda wanapanua mto msimu wa mafuriko upo karibu.nikipitaga pale bonde la Mkwajuni uwa nawaza hivi aiwezekani kupasua barabara ya kitokea pale Jangwani ikaungana na Morogoro road?.