Scroll down kwenye page hii utaona, then kila thread utakayoview scroll down mpaka mwisho the go on and on and on utazipata zote.Ndugu wana jamvi.
Natafuta heading yenye taarifa inayoonyesha mradi ukisimama baada ya uzinduzi. Mfano kiongozi mkubwa (Rais, au waziri anazindua mradi wa maji, umeme au ujenzi...
Kwa kweli wewe ni matola. hahahaha. nimepata moja humu humu JF kuna story ya PM kwenda kuzindua mradi wa maji Hedaru akakuta maji hayatoki..... Bado natafuta zingineScroll down kwenye page hii utaona, then kila thread utakayoview scroll down mpaka mwisho the go on and on and on utazipata zote.
Umeelewa?
Tumia akili yako vizuri.Kwa kweli wewe ni matola. hahahaha. nimepata moja humu humu JF kuna story ya PM kwenda kuzindua mradi wa maji Hedaru akakuta maji hayatoki..... Bado natafuta zingine
asante. tatizo JF hata ukiwa serious kuna watu wana utani na ukiwa na utani kuna watu wako serious.Tumia akili yako vizuri.
Dodoma: Mkurugenzi wa Chemba atakiwa kujieleza TAMISEMI kwa kuchelewesha miradi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo amechefuliwa na kitendo cha ucheleweshwaji wa miradi katika Wilaya ya Chemba huku akimwagiza Mkurugenzi kuhakikisha anampelekea maelezo ni kwanini wasichukuliwe hatua kwa uzembe huo. Hali hiyo...www.jamiiforums.com