Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu atunisuru na Porojo za CCM.
Hata kuandika huwezi, miladi ndo nini, chawa hovyo kabisa.Mama kaamua vijana tupate ajira ndio maana hatakupitia miladi mingi anayotekeleza lazima watanzania wapate fursa kila chenye manufaa Tanzania mama atakifanya we are so proud of her
Ukiona limesimama? Au mnadhani MW 2100 ndio forever itakuwa hatuhitaji umeme mwingine?Bwawa la nyerere ndio the talk sio pipi mnazotudAnganyia
Ulivyovisema vyote tunavisikia radioni na kwenye magazet tu.Kwaiyo wewe haupendi uhuru unataka utawaliwe kikoloni hamjazoea kuona Rais mchapakazi kama Rais Samia Suluhu amepeleaka umeme mpaka vijijini tena kwa bei nafuu kabisa hata kama mtu hana uwezo anaweza kuafford pia ameleta elimu bure maji mpaka vijijini milado mikubwa kamaliza kwa wakati mnataka nii tena watanzania
Ukiona limesimama? Au mnadhani MW 2100 ndio forever itakuwa hatuhitaji umeme mwingine?
Mmh mbona pesa haindani na hizo megawat..!pesa ni ndefuuuWaziri wa Nishati, January Makamba amefika kwenye Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe na kufika kwenye mradi wa kufua umeme kwa Njia ya Maji wa Rumakali (MW 222) wenye thamani ya Shilingi 1.4 Trilioni uliosanifiwa tangu mwaka 1998.
Mbele ya Waziri Makamba, Wananchi wamesema walishakata tamaa ya kuendelezwa mradi huo, Lakini kwa sasa matumaini hayo yamerudi na wanaamini utatekelezwa sababu wananchi hao toka mwaka 1998 walikua tu wakisikia kwamba kuna mradi wa kufua umeme lakini hakukua na mwendelezo au utekelezaji wowote kuhusu mradi huo.
Waziri Makamba amesema >>'Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeamua kutekeleza mradi wa Umeme wa Maji ya Rumakali uliopo Wilayani Makete Mkoa wa Njombe ili kuwezesha nchi kuwa na Umeme wa kutosha kutoka kwenye vyanzo mbalimbali vya Nishati, kuanzia Agosti 1 2022 Wathamini wanakuja kuzungumza na nyinyi kuhusu maeneo tutakayoyachukua juu ya fidia zenu kwenye eneo hili la Kilometa za Mraba 13.2 zitakazochukuliwa na huo mradi' - Waziri Makamba.
Tunaona jinsi serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ilivyo na uchu wa maendeleo