Mradi uliokwama kwa miaka 24 wafufuliwa rasmi

Mama kaamua vijana tupate ajira ndio maana hatakupitia miladi mingi anayotekeleza lazima watanzania wapate fursa kila chenye manufaa Tanzania mama atakifanya we are so proud of her
Hata kuandika huwezi, miladi ndo nini, chawa hovyo kabisa.
 
Ulivyovisema vyote tunavisikia radioni na kwenye magazet tu.
 
Hakuna hela aache utapeli wa kijinga. Usishangae aliposema hivyo kuna wananchi walishangalia huo uhuni.
 
Mmh mbona pesa haindani na hizo megawat..!pesa ni ndefuuu
 
Bwawa la nyerere wamelikalia kimya la
Megawat 2225 .wanatuona ss wajinga sana hawa watu
 
Angekuwepo Kalemani huu mradi ulikuwa uanze mapema sana. Tangu aende kuufuatulia na kuongea na Wananchi wa eneo lile imekuwa kama miaka miwili Sasa. Na hadi washakata tamaa.

Huyu anajikongoja sana.

Sema hiyi ghalama ni kubwa mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…