Mradi wa Airtel money bei laisi

Mradi wa Airtel money bei laisi

Kiny

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
289
Reaction score
57
Baada ya kufunga mradi wangu wa airtel money ninaitaji mtu wa kumuzia laine ikiwa na logbook yake mpya kwa elfu 85 (negotiable) niko Dodoma. Anayeitaji ani PM nimpe namba za simu tuwasiliane.
 
Hivi commissions za airtel money huwa zinakuwaje kuwaje ?, nimeuliza kwao kama wana lile jedwali la faida kwa wakala kama vile voda wakasema hawana..., unaweza kuniambia kwa transaction mtu kutoa/kuweka commission inaanzia tshs ngapi mpaka ngapi?
 
Hawa airtel wameboresha uduma zao ukimwekea mteja pesa au akitoa hapo hapo wanakutumia comission uliyopata kulingana na muamala uliofanya eg. Umemwekea lak 1. Wanakupa 450/= akitoa vilevile, ila hiyo pesa yote inakusanywa unapewa mwisho wa mwezi, NB UNAPEWA YOTE HAKUMA MAKATO YA VAT KAMA MITANDAO MINGINE.
 
Hawa airtel wameboresha uduma zao ukimwekea mteja pesa au akitoa hapo hapo wanakutumia comission uliyopata kulingana na muamala uliofanya eg. Umemwekea lak 1. Wanakupa 450/= akitoa vilevile, ila hiyo pesa yote inakusanywa unapewa mwisho wa mwezi, NB UNAPEWA YOTE HAKUMA MAKATO YA VAT KAMA MITANDAO MINGINE, kuhusu transaction na pesa unayopewa ni kama nilivyojibu hapo juu kila muamala --------- sms ya kukwambia umepata ngapi!
 
Back
Top Bottom