Hawa airtel wameboresha uduma zao ukimwekea mteja pesa au akitoa hapo hapo wanakutumia comission uliyopata kulingana na muamala uliofanya eg. Umemwekea lak 1. Wanakupa 450/= akitoa vilevile, ila hiyo pesa yote inakusanywa unapewa mwisho wa mwezi, NB UNAPEWA YOTE HAKUMA MAKATO YA VAT KAMA MITANDAO MINGINE, kuhusu transaction na pesa unayopewa ni kama nilivyojibu hapo juu kila muamala --------- sms ya kukwambia umepata ngapi!