Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,475
- 1,860
Kunamtu anapelekwa Chaka bila kujua.. ukiona adui yako anakushangilia jiulize x2.. kunajambo haliko sawa sehemNadhani issue ni HOJA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunamtu anapelekwa Chaka bila kujua.. ukiona adui yako anakushangilia jiulize x2.. kunajambo haliko sawa sehemNadhani issue ni HOJA
Nchi hii ujinga ni tatizo kubwaMarehemu, nasita kutamka, lakini siamini kama alikuwa sawasawa. Kilichokuwa kinanishangaza ni namna alivyokuwa mwongo na kuendesha nchi kwa kuwahadaa watu ambao kwa kiasi kikubwa, walikuwa na uelewa mdogo.
Wengine aliwadanganya, akawajaza ujinga wa ajabu, mpaka leo wametopea kwenye ujinga waliojazwa na marehemu. Na wanaamini kuwa marehemu alikuwa kiongozi mzuri sana.
Katika marais wote tuliowahi kuwa nao, hakuna hata mmoja ambaye aliwahi kuwa mwongo kama marehemu.
Aliwadanganya watu kuhusu madini, aliwadanganya watu kuhusu gas, aliwadanganya watu kuhusu korosho, aliwadanganya watu kuhusu hali ya uchumi wetu, aliwadamganya watu kuhusu mradi wa Bagamoyo. Ilikuwa vigumu sana kwake kuhutubia hata mara moja, bila ya kuongea uwongo.
Siamini kabisa kama alikuwa sawasawa.
Ingawa sijasoma makala yako kwa urefu swali langu ni moja tu..
Huo Mkataba umeuona ?, Nadhani hapo ndio tutaondoa mzizi wa fitina na kujua ukweli na uongo ni upi, Na ili tusiibiwe issue sio kupiga chini mradi moja kwa moja bali ni kufunga mikataba ambayo ina tija kwetu...
Na hilo litawezekana tu kama kuna transparency
Nadhani kwa mara ya kwanza, leo nimekusoma kwa utulivu, bandiko lako refu.Kuanzia sasa atakayempinga mama nitamloga nitamloga
Dondoo, Executive Summary ni Muhimu hususan kwa dunia ya sasa ndio maana mtu akija na issue yake unamuuliza je kuna A, B, au D, kama havimo unaachana na hio document unless una muda wa ziadaUngesoma kwanza.
Kwa style yako hata ungepewa mkataba ungeishia kusema mrefu sana
Gud analysisNadhani kwa mara ya kwanza, leo nimekusoma kwa utulivu, bandiko lako refu.
Inawezekana ukawa na kitu huko kwenye 'ujasusi', kwa sababu unasomeka vizuri huko.
Kwenye mradi wa Bandari bado kuna sintofahamu nyingi, na hata wewe unakiri hivyo hadi sasa. Kuna mengi hatuyajui, na badala yake unaishia kule kule kwa rais kushauriwa vibaya, kudanganywa..., nani amdanganye Magufuli, hajipendi? Si siku hiyo hiyo atakwenda kutangazwa hadharani kuwa ni mwongo, kama siyo kupata mabaya zaidi ya hapo?
Mama inaonekana ametekwa na kundi la warafi. Maamuzi yake ya harakaharaka haya yanatia shaka sana. Hatulii, wala haelezi lolote ikaeleweka, anagusagusa tu, kama "Nakwwenda kufungua Nchi", na haya mengine anayofanya sasa.
Juhudi zake zote kwa sasa kazielekeza huko kwenye makundi yanayomhimiza ayanufaishe. Hakuna lolote ambalo ameonyesha kuhusu hali za wananchi maskini wa nchi hii, kama wakulima na wafanya kazi. Siku 100 na zaidi sasa, ni huko huko kutengenezea ulaji hayo makundi yaliyomteka.
Sasa asije kushangaa, maskini ambao walikuwa wamekwishawekeza matumaini yao kwa Magufuli na wao wakaanza kupaza sauti, na wakipata uongozi imara, kitaumana!
Nchi hii tokea tumepata uhuru wetu, tumekuwa tukitambua misuguano inayotokana na hawa wenye tamaa zao za kunyang'anya hata hicho kidogo walichonacho maskini. Ni swala la kukumbushana tu kuliamsha la walala hoi wa nchi hii.
Huko kitu sahau. Walikuja wasouth kwenye shirikaa ndege kwa story hizihizi, wakaja kwenye Barrick kwenye madini story hizihizi.Kama nimekuelewa tatizo Tanzania ni system ambayo imejaa makada wa chama wenye unafiki badala ya weledi. Wanahubiri uzalendo wenye viashilia vya kutetea matumbo yao na chama lakini sio kwa maslahi mapana ya nchi.
Kuhusu mradi wa bagamoyo uko vizuri sema watu ambacho hawaelewi ni kuwa kitaumbwa chombo/mamlaka ya kusimamia na kuendeleza ambacho kitaundwa kutokana na wadau wote(Tanzania, China na Oman)kwa mukutadha huo watu ambao wangekua wafaidika wakubwa ni sisi watanzania kwa sababu kutakua na ajira,biashara, usafirishaji, sayansi na tekinaolojia ila siasa zinaichelewesha mama Tanzania.
We can debate all year miradi Inatakiwa iendelezwe na sisi wenyewe watu weusi.. Na huo mradi wa Bagamoyo wangeupeleka Tanga ambapo kuna bandari au mtwaraNna uhakika location ya bagamoyo wameifanya kutokana na strategic kulingana na upembuzi waliofanya wataalamu wangeweza kwenda kokote.
Habari ya accacia hapo nakuunga mkono ila ni tofauti kwa kuwa mradi wa madini huwa unafika muda madini yanaisha tofauti na bandari na strategic location kijiografia haina mwisho. Huwezi kufananisha swala la madini na bandari kuna walafi wachache wamefikiri kwa kutumia matumbo yao hawakuwaza kizazi kijacho cha taifa hili kwenye madini.
Hizo pesa zinaingiaje kwenye uchumi wakit 90% ya vitu mnaagiza nje na wataalamu wanatoka nje kinachoingia ndani ni 1% tuu halafu sasa gas yenyewe sio kunufaisha mtanzania bali inamnufaisha mzungu.. Huu ni unaitwa ujinga Nyerere alikataaHii nchi hatuwezi kutoka kwenye mkwamo kwa kuogopa kuchukua maamuzi makubwa yenye maslahi mapana kwa Taifa eti kwa sababu uwekezaji unasimamiwa na sekta binafsi.
Hata Uganda wangekomaa na ujinga wa kusema eti wapate 50/50 na Total hakuna kitu wangefanya hadi leo.
Uchumi sio Kodi tuu bali value chain ya mradi husika,imagine tumepoteza mradi wa LPG Lindi dola za kimarekani bil.30,,hizi pesa zingeingia kwenye uchumi wetu leo tusingekuwa tunaongelea madarasani na vyoo vya watoto.
Uzuri wa miradi hii mikubwa inajenga taswira nzuri kwa wawekezaji wengine kwamba kumbe nchi ina stable economic policy na hivyo ingefungua fursa kwa wengine.
Nchi hii iko vizuri kiusalama na kwa hiyo ilotakiwa kuwa kitovu cha uwekezaji kwa EAC yote maana hatuna changamoto za kiusalama kama kwingine.
Mama Songs na miradi yote iliyokwama kwa miaka na miaka ,tukipata robo tuu kwenye kila mradi inatosha sana maana value chain yake itaifaidisha nchi kuliko kuangalia kodi za directly
Shida niliyoiona watu wanahisi wanamkomoa Magufuli kisa alikataa huu mradi. Magufuli hayupo tena Ila hawataki kuelewa.Hizo pesa zinaingiaje kwenye uchumi wakit 90% ya vitu mnaagiza nje na wataalamu wanatoka nje kinachoingia ndani ni 1% tuu halafu sasa gas yenyewe sio kunufaisha mtanzania bali inamnufaisha mzungu.. Huu ni unaitwa ujinga Nyerere alikataa
Ukiangalia Tanzania tunakua na mipango mizuri shida inakuja kwenye utekelezeji kuna maneno mengi Sana kuliko utaalamu huo mradi TPA ndio walioandika wakaita wadau ie China na Oman so kama tunaona hao hawafai tunaweza kutafuta wengineHuko kitu sahau. Walikuja wasouth kwenye shirikaa ndege kwa story hizihizi, wakaja kwenye Barrick kwenye madini story hizihizi.
Yani mchina ufanye nae win win?
Una $10 billion bro au unaongea tu, pia hela zote hizo una technology hiyo?We can debate all year miradi Inatakiwa iendelezwe na sisi wenyewe watu weusi.. Na huo mradi wa Bagamoyo wangeupeleka Tanga ambapo kuna bandari au mtwara
Kwani madini tuliyo nayo hayana thamani hii sasa cha kushangaza madini yote tumewapa wazungu wachimbe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]tunaambulia kodi. Je chuma na makaa ya mawe tumeyatumia ipasavyo kama source of natural capital. Shida tumeaminishwa mpaka tupewe mkopo wa pesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama madini hayana thamani wazungu wazingekuwa wanasababisha vurugu Kongo au kulipa wasaliti kuvuruga nchi. Go beyond normal thinking penda nchi yako hamna mtu atakaye iokoa Afrika kama sio Mwafrika mweusi mwenyewe ila tupo busy kulilia wakoloni wareje ambao mwaka 1961 tuliwafukuza. Sisemi tusishirikiane nao ila tuwe tunatanguliza interest zetu kwanza kabla ya mihemuko ya Mungu mzunguUna $10 billion bro au unaongea tu, pia hela zote hizo una technology hiyo?
Jiwe aliuzuia mradi bila kutuonesha mkataba. Acha mama auruhusu mradi bila kutuonesha mkataba.Ingawa sijasoma makala yako kwa urefu swali langu ni moja tu..
Huo Mkataba umeuona ?, Nadhani hapo ndio tutaondoa mzizi wa fitina na kujua ukweli na uongo ni upi, Na ili tusiibiwe issue sio kupiga chini mradi moja kwa moja bali ni kufunga mikataba ambayo ina tija kwetu...
Na hilo litawezekana tu kama kuna transparency
ccm walituletea mradi wa kunguru sina hamu nao angalia kurungu wanavyotutesa uswahili sijui tutajifunza lini kutokana na makosaIngawa sijasoma makala yako kwa urefu swali langu ni moja tu..
Huo Mkataba umeuona ?, Nadhani hapo ndio tutaondoa mzizi wa fitina na kujua ukweli na uongo ni upi, Na ili tusiibiwe issue sio kupiga chini mradi moja kwa moja bali ni kufunga mikataba ambayo ina tija kwetu...
Na hilo litawezekana tu kama kuna transparency
Natangaza kupinga mambo yote yaliyofanywa na Magufuli , Eee Mwenyezi Mungu nisaidieHamna kitu hapa.