Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ni urithi wa uongozi wa Rais Samia utakaokumbukwa daima

Hivi Magufuli hakufanya kitu juu ya Mradi huo
 
Futeni na kumbukumbu kuwa Magufuli hakuwahi kuwa Rais wa Tanzania.
 
Hilo bwawa lina taswira ya Magufuli zaidi kuliko Samia na Nyerere. Labda Samia ashushe bei ya umeme kwa nusu ndio anaweza kufanya watu waone kufanania hilo bwawa. Samia ana picha ya mauaji ya watanganyika kuliko haya anayolazimisha kujibrand kwayo.
 
Hilo bwawa lina taswira ya Magufuli zaidi kuliko Samia na Nyerere. Labda Samia ashushe bei ya umeme kwa nusu ndio anaweza kufanya watu waone kufanania hilo bwawa. Samia ana picha ya mauaji ya watanganyika kuliko haya anayolazimisha kujibrand kwayo.
Mhhh
 
Oneni aibu basi, mbona mnawadharau watanzania kiasi hicho, mwenye kupewa sifa ni JPM full stop
 
Unaandika makala za kudanganya umma unadhani utaachwa tu?

BTW kutukana no kudanganya zote ni tabia chafu, huna tofauti na wanaokutukana maana wewe ni muongo.
 
Chuki za Michadema wanataka kugeuza ukweli kuwa uwongo

Maelezo yamenyooka
Ndoto ya Mwalimu Nyerere CCM utekelezaji kaanza RIP JPM CCM
Kaacha Project ipo %40👈

Dk Samia Suluhu Hassan CCM
Kamalidhia maono ya wote kwanzia ya Mwalimu Nyerere ‼️

kuja RIP JPM kwenye Tanzania ya Viwanda wengi hawajui Wazo la RIP JPM kuifanya Tanzania ya Viwanda ilikumbana na changamoto kubwa ya Umeme
Ndiomana RIP JPM akaanza iyo Project

Tunashukuru Rais Dk Samia Suluhu Hassan kaweza kuimalidhia iyo kazi
rasmi
Kwafaida ya mustakabali wa Tanzania yote✍️
 
Mkisema ni RIP JPM sawa basi si mseme alikuwa CCM✅️
Sio Chadema ❌️
Kaja RAIS Dk Samia Suluhu Hassan nayeye ni CCM kamalidhia
kazi yote👈

heshima ipo kubwa
Chagueni imma msifie CCM ??

Au RAIS Dk Samia Suluhu
Hassan ??
 
Adolf hitler alijenga barabara,shule na akashawishi kampuni la voxwagen kutengeneza gari la bei nafuu ili kila mjerumani aweze kumiliki gari.Wajerumani walimsifu sana lakini alipoanza kuua watu hovyo waliomkosoa kama HUYU ALIVYOWAUA SOKA,BALOZI POLEPOLE,MZEE KIBAO na wengine wengi na kumbukumbu yake ikabaki ya mabaya na siyo ya mazuri
 
Mwalimu Julius Nyerere,ukitaja hili Jina nikukumbuka Muungano na muundo wa CCM, Mwenyekiti wake kuwa ndiye Rais wa nchi, ninamuomba mungu amchukue mara ya pili ili asirudi kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…