Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ni urithi wa uongozi wa Rais Samia utakaokumbukwa daima

Kwani Aliyenadi ilani ya CCM katika awamu ya 5 alikuwa ni nani?
By the way unazijua shule za amali nchini??
Mkuu sasa unapoelekea utaanza kuitaja na miradi ya maji ambazo ni ilani za chama tokea kipindi cha Nyerere naomba kaa kimya kidogo utakiaibisha chama chetu
 

Attachments

  • IMG_20260821_170521~2.jpg
    627 KB · Views: 10
Alikuwa na chaguo gani lingine tofauti na kuukamilisha tu??

Kosa lipo wapi kukamilisha iyo project ??

Kiakili ni kweli pamoja na Rais Dk Samia Suluhu Hassan
kutoa Tunzo na kukabidhiwa Mtoto wa Rip JPM Jesca Magufuli pale kwenye Uzinduzi ๐Ÿ‘ˆ

Ni kweli Rais Dk Samia Suluhu Hassan hapaswi kupongezwa??? na tunajua kakuta project ipo%40 tu.ยฟยฟยฟยฟยฟยฟยฟยฟ


Kupongezwa kwake ni Kwa Haki โœ…๏ธ
sio
ombi sio hisaniโŒ๏ธ
kaitoa project kutoka %40 mpaka %100
Kwanini hasipongezwe????
 
Samia hana legacy yoyote zaidi ya October 29 .na utekaji .
Kwa hiyo ondo bandiko lako hili la uongoo.

Sisi ukweli tunaujua hata wewe sema tuu umelambishwa asali
 
Rais Dk Samia Suluhu Hassan anajua mchango wa Mtangulizi wake rip JPM

Ndiomana
Katoa Tunzo palepale kwenye Uzinduzi
Na kumpa kwaniaba ya Familia ya JPM kapokea JESCA Magufuli

Mlitaka hafanyaje zaidi ???

Watanzania sio wajinga Ndiomana
Wanajua Mchango wake Rais Dk Samia Suluhu Hassan
Ndiomana wameuvalisha mradi RAIS WASASA Dk Samia Suluhu Hassan

Kimeuwauma kumuona Mzee mbowe kwenye Uzinduzi AKILI zenu zakufanisha na Mzee mbowe kweli๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kueni kwanza kiumri mengine bado kuyaelewa

Mfano ili Viongozi wenu wengi wasasa pale Chadema ๐Ÿ‘ˆ

uyo Mzee mbowe anawajua mpaka kucha zao kula yao wamekujaje mjini walikuwa wanalala
wapi mjini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nyinyi kwenu ndio mnawaona kama miungu yenu Mitakatifu ๐ŸซŽ๐ŸซŽ๐ŸซŽ๐ŸซŽ๐ŸซŽ๐ŸซŽ๐ŸซŽ๐ŸซŽ๐ŸซŽ๐ŸซŽ๐ŸซŽ BIG SHOW anawaita MALOFA sio mm ni ndugu yangu BIG SHOW โœ๏ธ

RIP Benjamin William Mkapa yeye aliwaitaka MALOFA na WAPUMBAVU siomimi ni BEN uyoโœ๏ธ
 
Kwa jinsi ilivo Heche endelea kushusha majengo

Mwenyekiti mpaka hapate Akili ya kulimaridha kupitia
Maridhiano๐Ÿ‘ˆ

Naamini utakuwa malengo mengi yametimia๐Ÿ’ช

Dawa siku Mwenyekiti katoka ni kuwaachia Chama chao
Waendelee na Kupashana
umbeya na Mwenyekiti wao ๐Ÿ‘ˆ

Lkn kwasasa piga kazi Watoto wasije kunyanyasika tena๐Ÿ‘ˆ
yule mwenzio Watoto wapo Marekani na wanasoma๐Ÿ‘ˆ

Naww pigania
Watoto wako โœ๏ธ
 
Lazima Rais Samia apate credit kwa vile alikuwa na uwezo kuto endeleza kama ambavyo tulimuona Magufuli alivyoacha kuendeleza Bagamoyo Port iliyoanzishwa na Kikwete.

Isitoshe miradi yote ya Magufuli ukiacha flyover za Tazara na Ubongo, barabara sita za Kimara Kibaha, Statehouse Dodoma ilikuwa chini ya 30% hadi anakufa March 2021.

Samia anastahili pongezi sana kwa kuimalizia kwa ufanisi miradi kama:- -
-Dodoma Ring roads
-Wami Bridge
-Busisi - Kigongo bridge
-Flyover za Nyerere/ Kawawa, Segerea, Karakata, TIA na Kurasini
-SGR Dar - Dodoma
-Mahospitali na vituo vya afya nchi mzima
-Mabweni na madarasa shule za sekondari
 
Mama analazimishiwa sifa hewa huyuu, watz wa leo sio mafala mnajitekenya na kucheka wenyewe machawa!
Kwa hiyo wewe ndiyo una hatmiliki ya kupanga watu wamsifie nani na kwa vitu gani?

Nitajie kitu ambacho anasifiwa uwongo
 
Sa100 hatakumbukwa hata kidogo zaidi atakumbukwa kwenye mauaji ya moz9 na hamphrey pepole tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ