FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hili liko waziJPM alishasema kwenye hadhara kuwa gas ilishauzwa sio yetu wenye gas watazalisha umeme na kutuuzia.bwawa la nyerere tumejenga wenyewe kwa pesa za mkopo na makusanyo ya ndani tunapeleka moja kwa moja kwenye gredi ya Taifa hatununui.ikiangalia kiundani hapa utagundua
1) umeme wa gesi ni deal za watu na unamikataba migumu sana na huenda baadhi ya viongozi wakadhalilika usipotekelezwa.Ndo maana iwe jua au mvua lazima utekelezwe
2) umeme wa bwawa la Nyerere ni wa kwetu hauna masharti magumu na mwiba kwa mafisadi unaharibu deal lao la gesi.Lazima uhujumiwe na kubezwa sana
Mwendazake alifanikwa kujaza ujinga wengi sana ili aonekane yeye ni very special,ninyi ndio wale mlioaminishwa nchi yetu ndio ya kwanza duniani kwenye rasilimali za asili kama madini,Yani kuna watu wajinga huwa wameaminishwa kwamba tz ndio nchi iliobarikiwa kuwa na madini mengi kuliko nchi yoyote duniani.Propaganda zilipigwa mkajua mwendazake anasifa sana na ikulu kuna kiasi alikosea ila nia yake ya dhati kwenye nishati na miundo mbinu ili tujitegemee ilikuwa ni ya dhati kutoka moyoni mwake kwa kifo chake ilitakiwa tuhoji kwa nini mtu aanze ziara halafu afe ghafla.
Kwani walikua hawajampima kabla hajatoka chato. Pili kwa nini mkapa ,afe maalim, afe kijazi naye afe,jpm pia hlf afe msanifu madaraja hii chain ni moja na kuna watu walionganishwa ili kututengenezea picha kua walikwisha kwa corona na magonjwa ya moyo ila ukweli huwa hata kwa macho haufichiki.
Daima huyu jamaa huwa naamimi alikua sio pupet alisanua mambo Mengi. Saivi kwenye bunge naibu spika kasogezwa yule alieutetea mradi wa Bagamoyo ambao thamani yake ni sawa na bajeti yetu ya mwaka kikubwa wazingatie masharti yawe mazuri ila kwa hiyo hela nchi nzima imenunuliwa.
Huo mradi utakamilika ila ni kwa mazengwe sana na tuzidi kupiga kelele.
mbona unaumia fatilia hotuba za tundu lisu wakati wa kikwete tulipata asilimia 3 ya mapato na madini yalienda nje tena bila ya sisi kukagua wa kujua.Mwendazake alifanikwa kujaza ujinga wengi sana ili aonekane yeye ni very special,ninyi ndio wale mlioaminishwa nchi yetu ndio ya kwanza duniani kwenye rasilimali za asili kama madini,Yani kuna watu wajinga huwa wameaminishwa kwamba tz ndio nchi iliobarikiwa kuwa na madini mengi kuliko nchi yoyote duniani.
Watu wanauliza imekuwaje mwendazake afe?Wamekufa mitume na manabii yeye ni nani mpaka iwe ajabu?