Propaganda zilipigwa mkajua mwendazake anasifa sana na ikulu kuna kiasi alikosea ila nia yake ya dhati kwenye nishati na miundo mbinu ili tujitegemee ilikuwa ni ya dhati kutoka moyoni mwake kwa kifo chake ilitakiwa tuhoji kwa nini mtu aanze ziara halafu afe ghafla.
Kwani walikua hawajampima kabla hajatoka chato. Pili kwa nini mkapa ,afe maalim, afe kijazi naye afe,jpm pia hlf afe msanifu madaraja hii chain ni moja na kuna watu walionganishwa ili kututengenezea picha kua walikwisha kwa corona na magonjwa ya moyo ila ukweli huwa hata kwa macho haufichiki.
Daima huyu jamaa huwa naamimi alikua sio pupet alisanua mambo Mengi. Saivi kwenye bunge naibu spika kasogezwa yule alieutetea mradi wa Bagamoyo ambao thamani yake ni sawa na bajeti yetu ya mwaka kikubwa wazingatie masharti yawe mazuri ila kwa hiyo hela nchi nzima imenunuliwa.
Huo mradi utakamilika ila ni kwa mazengwe sana na tuzidi kupiga kelele.