Mradi wa Bwawa la Nyerere(MW 2115) upo nyuma kwa asilimia 44, nguvu zimeelekezwa kwenye gesi (MW 1600)

Mradi wa Bwawa la Nyerere(MW 2115) upo nyuma kwa asilimia 44, nguvu zimeelekezwa kwenye gesi (MW 1600)

Na hiyo gas inayohitaji $30 milioni sijui hizo pesa zake wamezipata wapi, tunatakiwa tujue, na kama ni za mkopo zina masharti gani tuambiwe.

How I wish tungekuwa na kiongozi anayetumia akili yake hata kwa dakika moja tu kwa siku.
Hakuna mtu wa hovyo kama January makamba unapigiaje chapuo mradi wa LNG wa trillion 70 huku deni likiwa trillion 70 ni wazi nchi Haina uwezo wa huu mradi Mkubwa Ila makamba analazimisha
 
January na wahuni wenzake wanajaribu kuuhujumu ili ionekane JPM alikuwa anadanganya. January kakwama bado asubuhi. JPM legacy yake haitofitika Nchi hii.
 
Suala la kwamba wasio na mabwawa wanatumia gas kama mbadala sio shida, shida ni kwa sisi wenye chanzo cha maji kuacha kuliendeleza kwa maendeleo yetu. Suala labei kutoshuka itakuwa ni siasa mbovu tu, ila ukweli ni kwamba umeme wa maji bi the cheapest, kumbuka gesi tunanunua, ipo kwetu ila sio yetu, ni ya miwekezaji, ila maji ni yetu, hatununui.

Tukamiishe hilo bwawa haraka iwezekanavyo.
Uache kuendelezea mradi ambao utakupa umeme Kwa mda mfupi afu ukomae na mradi ambao utaisha baada ya miaka 6 ilhali hata ufanyaje huwezi shorten mda wa ujenzi kukingana na procedures za kitaalamu.

Ni mwehu tuu ndio anaweza fanya huo ujinga.

Imagine pamoja na kujitutumua kwa mwendazake bado mradi ulichelewa kwa zaidi ya siku 400 kwa sababu za fedha, quality control na hindrances za kimazingira hasa mvua..
 
Hakuna mtu wa hovyo unapigiaje chapuo mradi wa LNG wa trillion 70 huku deni likiwa trillion 70 ni wazi nchi Haina uwezo wa huu mradi Mkubwa Ila makamba analazimisha
Wewe na aliyekuzaa ndio wa hovyo.LPG ya investors inahusikaje na deni la serikali?

Are you insane? In fact hizo pesa zikiingia ,GDP itakua,forex zitakuwa,BOP itakua,ajira na tutakuwa net exporter wa lpg gas.

On top of that tutakuwa tumepata rating kubwa kabisa Duniani ya kuaminika na investors.Ila kwa kuwa una akili ndogo kama funza huwezi elewa haya mambo yako juu ya uwezo wa akili yako.
 
Watanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.

JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.

Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.

Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania. Na zinatumia hardly 10% ya gesi ya Mtwara

Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Umeme wa kutegemea mvua siyo reliable na vile vile una athari kwa mazingira.

Kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 tungepiga hatua kubwa sana kiuchumi kwa kuwa;
1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati.

2. Tusingevuruga baioanuai ya Selous kwa kukata miti ili tujenge bwawa la umeme kwa ajili ya kupata Megawati 2,100 tu ambazo zinapatikana kwa kutumia 25% tu ya gesi ya Mtwara.
Pumba tupu
 
Magu pia alizingua, ujenge bwawa, usifanyie services mitambo ya gas, unakopa unauchuna, watu wanakuwa waoga wanashindwa kuhoji chochote, cha kiuchumi, kisiasa wala kiafya!
 
Kwahiyo bwawa la Nyerere ambalo litazalisha MW 2115, hakuna uhakika wa lini utakamilika.
Huu umeme unaotegemea mvua wakati kuna mabadiliko ya tabia nchi mara ukame unategemea hizo MW 2115 zitapatikana?JIwe alikurupuka.Bora tujikite kwenye umeme wa Gas ambao tunajua offshore kuna trillions of litres za gas!
 
Uache kuendelezea mradi ambao utakupa umeme Kwa mda mfupi afu ukomae na mradi ambao utaisha baada ya miaka 6 ilhali hata ufanyaje huwezi shorten mda wa ujenzi kukingana na procedures za kitaalamu.

Ni mwehu tuu ndio anaweza fanya huo ujinga.

Imagine pamoja na kujitutumua kwa mwendazake bado mradi ulichelewa kwa zaidi ya siku 400 kwa sababu za fedha, quality control na hindrances za kimazingira hasa mvua..
Crane la tani 26 liko wapi? Tuanzie hapo , pia hakuna aliesema tusiendeleze gesi, bali kuendeleza gesi na bwawa
 
Ni rahisi kwa mpumbavu kusema point za mwenzie ni pumba wakati yeye hana uwezo wa kuzijibu. Ms..ge baridi wewe Kichuguu
Pumba tena tena zilizooza kabisa iwapo unaanza kuandika maneno usiyoweza kumalizia; inaonyesha upeo wako kuwa kichwani umejaza makamasi tu.

Sikiliza: huwezi kudanganya watu kuwa power generation itokanayo na gesi ni bora kuliko hydropower kwa kuleta visababu vya kipumbavu ukitumia vinamba visivyokuwa vya kitaalamu halafu ukategemea watu wenye akili wakusikilize; utasikilizwa na wapumbavu wenzako tu.

Angalia kuwa lifespan ya Hydropower per kilowatt ni miaka 66, lifespan ya coal power plant per kilowatt ni miaka 39, lifespan ya nuclear power plant per kilowatt ni miaka 36, wakati lifespan ya natural gas power plant per kilowatt ni miaka 22 tu. Hata cost analysis inaonyesha kuwa hydropower plant ni superior, hapo ukiwa unaweka pamoja prorated investment costs and running costs. Cost ya Hydropower per kWh ni $0.01, cost ya Nuclear power per kWh ni $0.02, cost ya Coal power per kWh ni $0.025, wakati cost ya natural gas power per kWh $0.04. Hapo hujachanganya metrics zinazotokana na environmental impact effects. Wewe una sababu zipi za kitaalam zinazozidi metrics hizo kutuambia kuwa natural gas power plant ni bora kuliko hydorpower plant kama siyo pumba tu.

Fanya utafiti wa kina ndipo uandike habari authoritative, siyo pumba za kuimbiwa na Makamba pamoja na maharage kwa sababu zenu wenyewe halafu ukategemea kusikilizwa.
 
Ungeweza kujenga hoja vizuri sana bila kutumia matusi Bwana Kichuguu

Anyway nimekuelewa sana kuhusu life span na cost per kWh ya kila power source kwa vile umeweka metrics. Ila kwenye environmental impact ya kila power source ume mute kwa vile unajuwa ukiziweka hapa, ile ya hydro itapunguza hata advantage zitokanazo na hizo costs za power per kWh. Weka hizo environmental impact tufunge mjadala
 
Uliandika karatasi refu lililojaa maneno ya kutunga tu bila kuwa na facts; nilitegemea ujenge hoja kwa vigezo, siyo kutuletea maneno ya mitaani. Facts huwa haziandikwi kwa makaratasi mengi, zinajieleza zenyewe.

Kama ulikuwa hujui hata environmental impacts, ambayo inatakiwa obvious kabisa, basi soma jedwali hili. Elewa kuwa process yoyote inayohusisha combustion huwa na environmnetal impacts kubwa na vile vile mitambo yake haidumu sana kwa sababu ya thermal action inayoweza kuambatana na cyclic expansion. Usidhani kwamba tunaosema kuwa kwenye mradi wa Bwawa la Nyerere hayati Magufuli alikuwa kaonyesha kuwa visionary hatujui tunalosema, au wote ni "Sukuma gang." Watu wa aina yako hukimbilia kutoa majibu ya kisiasa na ya mkato mkato pamoja na matusi lakini ukweli ndio huo.

1645507254908.png
 
Kwa nini siyo vyote hydro > 2000 MW + hiyo 1600 MW ya gas = karibia 4000 MW ukijumlisha na MW zilizopo sasa hivi ?
JPM alishasema kwenye hadhara kuwa gas ilishauzwa sio yetu wenye gas watazalisha umeme na kutuuzia.bwawa la nyerere tumejenga wenyewe kwa pesa za mkopo na makusanyo ya ndani tunapeleka moja kwa moja kwenye gredi ya Taifa hatununui.ikiangalia kiundani hapa utagundua
1) umeme wa gesi ni deal za watu na unamikataba migumu sana na huenda baadhi ya viongozi wakadhalilika usipotekelezwa.Ndo maana iwe jua au mvua lazima utekelezwe

2) umeme wa bwawa la Nyerere ni wa kwetu hauna masharti magumu na mwiba kwa mafisadi unaharibu deal lao la gesi.Lazima uhujumiwe na kubezwa sana
 
Back
Top Bottom