Mradi wa Kituo cha Umeme Mkata kuboresha upatikanaji wa Nishati

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911


Mradi wa Kituo cha Kupoozea Umeme cha Mkata wenye thamani ya shilingi bilioni 50 unalenga kuhakikisha upatikanaji wa umeme wa uhakika, kuboresha huduma za nishati kwa wananchi na kuchochea maendeleo ya shughuli za kiuchumi mara utakapokamilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…