Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Haijapata kutokea katika historia ya nchi yetu masuala ya kiuchumi kugeuzwa mjadala wa kidini.
Kuliwahi kuwepo na miradi ya kifisadi iliyodumu na kuleta athari mbaya kwa nchi wakati wa maraisi walipita yote ilijadiliwa kwa ufisadi wake na yote yaliyofuata yalikuwa malalamiko ya kawaida tu.Huu mkataba wa bandari upo hatua za awali tu na haujaanza hata kutekelezwa lakini imekuwa ni baa.
Sisi watu wa saikolojia tumeona hawa wanaaotaka kuleta machafuko ya kidini na kuahidi kutumia makanisa yao kila Jumapili kufanya uchochezi wana kitu kilikuwa moyoni mwao kwa muda mrefu sasa wanaona wamepata pa kupitia.
Hii ahadi za uchochezi wafanye wao tu.Ingekuwa ni waislamu tungekwishasikia maneno kama ugaidi na wengi wao bila kujali hadhi zao wangekwisha shikwa na kuwekwa ndani.
Kumbuka baadhi ya masheikh waliokuwa na vyeo kama vya hao mapadre yaliyowapata na walidhaniwa tu sio hawa wanaoahidi kabisa kufanya uasi.
Eti "sisi hatubahatishi" tupo mpaka vigangoni.Matamko ya aibu kabisa hayo kwa kiongozi wa kidini.