Mradi wa kiuchumi mnaufanya mjadala wa kidini. Hamna maana kabisa

Yeye ni raia wa Zanzibar Kwanza na alitamka Kwa kinywa chake.
 
Mashudu yapo wapi au hujaelewa hoja.
Bandari ya kuhudumia Malawi na Kongo ikajengwe Zanzibar si itakuwa ni ukichaa huo.
Ndo maana unaambiwa hujui unachojibu. Mkataba unaongelea bandari za bahari, maziwa na nchi kavu upande wa Tanganyika. Kama ni mzuri Kwa nini iwemo bandari ya Kibirizi ya Nungwi isiwemo?
 
Kama ni hivi Kwa nini mkataba unahusisha bandari ya Kyela? Au hujui ni all ports (Ocean, Lakes & land)?
 
Ndo maana unaambiwa hujui unachojibu. Mkataba unaongelea bandari za bahari, maziwa na nchi kavu upande wa Tanganyika. Kama ni mzuri Kwa nini iwemo bandari ya Kibirizi ya Nungwi isiwemo?
Zanzibar hakuna maziwa ni bahari tu.
 
Mama yenu keshapotea, hajui tena wapi anapoelekea.
 
Bunge
 
Nataka nikwambie huu ujanja wa IGA Kufa kutokana na kifo cha HGA ndo uhuni wenyewe unaopigiwa kelele.
Uhuni kama huu uliwahi kufanyika nchini kwenye ubinafisishaji wa Mashirika ya Umma. Mtu anachukua Dodoma Hotel Kwa mkataba wa miaka 10 anapewa grace period ya kulipa Kodi miaka 5 ikifika 4 anawithdraw akidai Biashara hailipi anajibadili jina na Menejimenti mpya ya uongo na kweli anapepewa grace period kama Mwekezaji mpya kumbe ni wale wale.
Ukomo wa IGA kuamriwa na HGA ni uhuni unaobarikiwa na waliolambishwa asali. Anajngia HGA 2 miaka 25 Kila moja, ikifika miaka 20 anaingia HGA ya kitu kingine ya miaka 30 nayo mtasubiri iishe ndo IGA Ife. Wenye akili wameuona ujanja huu kama walivyoona kwenye gesi ya Mtwara na mlivyokomaza mafuvu Leo mmeinamisha vichwa kama hampo.
 
Haya tueleze mkataba wa bwawa unasemaje Chief.
 
Wewe unakubali kurudi kuwa mtumwa wa mwarabu?
 
Umeleta ujuaji mwingi. Umeandika mengi ambayo hayana uhusiano na mradi wa bandari. Na tukumbuke kuwa mwaka huu huu anakuja mwekezaji mwingine wa kuendesha sehemu ya bandari iliyobakia, na yeye atapingwa kwa kutumia nguvu hii hii iliyotumika kumpinga DPW?.

Kwanini huo uhuni ufanyike kwetu peke yetu wakati ni utaratibu wa kusaini mikataba wa kidunia?.

Umeshawahi kujiuliza mkataba wa bomba la mafuta upo vipi?. Umeshawahi kujiuliza mikataba mingi inayosainiwa na serikali kila siku imekaa vipi?.
 
Kwanza, kabisa nikupe taarifa kuwa wewe ni zero brain, issue sio dini issue ni mkataba mbovu ambaye bibi mvaa kiremba kashupaza shingo baada ya kuambiwa na waungwana na wana taaluma utumbo alioufanya, yeye akajibu kwa kutuma kina mwijaku na kitenge kujibu hoja za msingi za wanasheria nguli( shame on her)

Pili, hakuna shekhe mwenye elimu kama ma Askofu narudia tena hakuna na wanachofanya wao ni wametoa msimamo wao kwa waumini wao na taifa kwa ujumla hasa kwa wale wazalendo.

Tatu na muhimu, Tanzania ya sasa siyo ya 1970! Watu wanaelimu tena wengi na wanajitambua sana, Serikali na wewe mleta mada inapaswa mjue kuwa mwenye maamuzi ya mwisho ni mwananchi na sio bibi mvaa kilemba na Ccm.

Nne, serikali imekosea na watanganyika wote wazalendo na wenye akili tumekataa usanii wa ccm.

Idiot!
 
Huyo Rais SSH anao washauri wenye utaalamu wa mikataba na uchumi kuliko wewe unavyodhania.

Ukumbuke anayeikwamisha hii nchi isifike mbali ni huu ujuaji wa kila mtu kutaka kuongelea kila kitu hata ambacho hakijui.

Wanaoandaa hiyo mikataba haswa huu wa DPW ni watu waliosomea miaka na miaka vyuoni kuhusu maswala haya haya na ni katika nchi ya wapumbavu iitwayo Tanzania ndio mchango wao unashindwa kuonekana.
 
Kwa akili hiziii, bado ukombozi wa kifikra unahitajika
 
Shehee tuliaa shehee dawaa itawaingiaa tuuu
 
Jikite kwenye hoja ya kujibu waraka wao una mapungufu yapi.
Achana na hoja za udini.
 
Waislamu acheni kujadili dini jadilini mapungufu ya mkataba kwa maslai ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…