kimani Mibwi
Senior Member
- Mar 27, 2019
- 189
- 170
Huu mradi ni noma sana,Ubungo interchange ni ya kutupwa kwenye slum eeeh
Raha hapa ndani
Raha hapa ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hauishi dsm uaiona kwenye taarifa za habari tu,wanaojua usumbufu wa hapo,lazima walishangilia.Nalishangaa jinsi limbukeni ndugu kutoka Tz mlivyoshangilia eti Tazara fly over,iweje muwe mbumbumbu kwa flyover jamani,je mu akili punguani au vipi?Ama ni enzi za kinjekitile mlizomo?
Kuna highrise buildings ambazo zina apartments hata 20 kwa mjengo mmoja ....Vijiji elfu 9+ Ni vingi japo sio kila mtz anauwezo wa kuvuta umeme katika kila kijijiNumber of customers ni 2.7 million, out of 55 million plus., maybe we average 7 people per household., less than 60% of population can afford electricity, the rest ni kukula saa kumi mchana na kulala saa kumi na mbili jioni, poverty ni mbaya, LDC on steroids. Puting wires across the country na raiya hawawezi afford ku connect[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
Kuna highrise buildings ambazo zina apartments hata 20 kwa mjengo mmoja ....Vijiji elfu 9+ Ni vingi japo sio kila mtz anauwezo wa kuvuta umeme katika kila kijiji
Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa, Bidii ndio itatutoa shimoni sio HadithiIn those apartments kila nyumba ina metre yake, ama kila tenant ananilipia umeme, the count of those who pay bills ndio inakuja 2.7 million., Africa nchi nyingi sana badoo Tanzania included amongst the worst., hapa musipinge, hatufanani, ijapokua we are not yet there.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah una akili za kimaskini mno jomba, ingekuwa hvyo basi meli zcngekuwepo, ndege za local zcngekuwepo, yangeachwa mabasi tu yasafirishe watu, btw ucfananishe Kenya na Tz, huku watu wana pesa na hakuna biashara utafanya upate hasara Tz unless hauko serious.
Hzo nchi ulizozitaja zote, Tz ndo baba lao, yn unataka kufananisha mazingira ya biashara ya Tz na hzo nchi mbn unaota asbh asbh hv.Narrow minded argument, get exposure, pia ukienda DRC, Uganda na Rwanda ukifanya biashara u are likeky to make it, Tz sio special, imechelewa kidogo, stop having this thinking that 'is your mother only who knows how to cook'., fanya utafiti, you are too localized, from your arguments, uko na mtazamo finyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hzo nchi ulizozitaja zote, Tz ndo baba lao, yn unataka kufananisha mazingira ya biashara ya Tz na hzo nchi mbn unaota asbh asbh hv.
Thanks, Kwa sasa kweli ni kama tunaanza...itachukua muda kukamilisha mambo mengi ambayo ni ya muhimu sana ...Kizaz cha sasa lazima kiwajibike ipasavyoI like your argument, so reasonable, imeenda shule. Anyway it is a good foundation kwa vizazi zijazo, their economy will be accelerated, hawataumia kama watu wa sasa, if dunia kutakua na amani, na haya janga kama corona hayatasumbua.,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa najiuliza kwanini wasichana wa Kenya wakivua nguo sehemu za siri za mapajani zinakuwa nyeusi kama zimebabuka kumbe ni kutokujisafisha kwa maji ,huwa amjitawazi na maji hivyo kinyesi kina sababisha joto na mvundo unao unguza mapajaLakini lakini Nini ati miezi ijayo ama miaka ijayo?? Can you be serious for once angalia reality wacha propaganda.
Kamwambie Diamond 😉Nilikuwa najiuliza kwanini wasichana wa Kenya wakivua nguo sehemu za siri za mapajani zinakuwa nyeusi kama zimebabuka kumbe ni kutokujisafisha kwa maji ,huwa amjitawazi na maji hivyo kinyesi kina sababisha joto na mvundo unao unguza mapaja