Mradi wa Ksh 65 billion wa Mombasa Road umeanza kutekelezwa rasmi

Huu mradi ni noma sana,Ubungo interchange ni ya kutupwa kwenye slum eeeh
Raha hapa ndani
 
Nalishangaa jinsi limbukeni ndugu kutoka Tz mlivyoshangilia eti Tazara fly over,iweje muwe mbumbumbu kwa flyover jamani,je mu akili punguani au vipi?Ama ni enzi za kinjekitile mlizomo?
 
Nalishangaa jinsi limbukeni ndugu kutoka Tz mlivyoshangilia eti Tazara fly over,iweje muwe mbumbumbu kwa flyover jamani,je mu akili punguani au vipi?Ama ni enzi za kinjekitile mlizomo?
hauishi dsm uaiona kwenye taarifa za habari tu,wanaojua usumbufu wa hapo,lazima walishangilia.
 
Kuna highrise buildings ambazo zina apartments hata 20 kwa mjengo mmoja ....Vijiji elfu 9+ Ni vingi japo sio kila mtz anauwezo wa kuvuta umeme katika kila kijiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In those apartments kila nyumba ina meter yake, ama kila tenant anajilipia umeme, the count of those who pay bills ndio inakuja 2.7 million., Africa nchi nyingi ziko bado sana, Tanzania included amongst the worst., hapa musipinge, hatufanani, ijapokua we are not yet there.
Kuna highrise buildings ambazo zina apartments hata 20 kwa mjengo mmoja ....Vijiji elfu 9+ Ni vingi japo sio kila mtz anauwezo wa kuvuta umeme katika kila kijiji

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naelewa, Bidii ndio itatutoa shimoni sio Hadithi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narrow minded argument, get exposure, pia ukienda DRC, Uganda na Rwanda ukifanya biashara u are likeky to make it, Tz sio special, imechelewa kidogo, stop having this thinking that 'is your mother only who knows how to cook'., fanya utafiti, you are too localized, from your arguments, uko na mtazamo finyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hzo nchi ulizozitaja zote, Tz ndo baba lao, yn unataka kufananisha mazingira ya biashara ya Tz na hzo nchi mbn unaota asbh asbh hv.
 
Nothing new kaka, ndio umeona jua, endelea kuota, sisi tuliota hadi tumechoka., what do u want to compare Tz with?., weka list hapa., na usiseme SA or Egypt, some of their 'estates' economy is equal ypur whole country., wewe unataka kuiweka wapi Tz?., maybe akina Ghana hivi.,
Hzo nchi ulizozitaja zote, Tz ndo baba lao, yn unataka kufananisha mazingira ya biashara ya Tz na hzo nchi mbn unaota asbh asbh hv.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks, Kwa sasa kweli ni kama tunaanza...itachukua muda kukamilisha mambo mengi ambayo ni ya muhimu sana ...Kizaz cha sasa lazima kiwajibike ipasavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini lakini Nini ati miezi ijayo ama miaka ijayo?? Can you be serious for once angalia reality wacha propaganda.
Nilikuwa najiuliza kwanini wasichana wa Kenya wakivua nguo sehemu za siri za mapajani zinakuwa nyeusi kama zimebabuka kumbe ni kutokujisafisha kwa maji ,huwa amjitawazi na maji hivyo kinyesi kina sababisha joto na mvundo unao unguza mapaja
 
Kamwambie Diamond 😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…