Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Natanguriza samahani kwa wale wasiopenda/kutumia kitimoto, WanaJF mimi nataka kuanza mradi wa kufuga kitimoto angalau minimum start wawe 30, ni vitu gani winaitajika tofauti na mtaji mana ninao tayari, Naomba mawazo yenu
king kuna thread ya maskini jeuri walishaongelea kidogo.
na mimi nikamshauri atembelee blog moja inaitwa MITIKI ina maelezo mengi saana juu ya swala lako.
kama inakupendeza itembelee nadhani utapata mwangaza.
MKUU, ULIFANIKIWA?Natanguriza samahani kwa wale wasiopenda/kutumia kitimoto, WanaJF mimi nataka kuanza mradi wa kufuga kitimoto angalau minimum start wawe 30, ni vitu gani winaitajika tofauti na mtaji mana ninao tayari, Naomba mawazo yenu