wale vifaranga wa kienyeji waouzwa pale tazara ambao wanasema ni chotara,je wanauwezo wa kuatamia mayai? pia mimi ninao kuchi wana miezi kama miwili na nusu nilikua naomba kujua ukuaji wao upoje na soko lao
Ukuaji wa vifaranga vya kuchi au hao chotara wa Tazara?