M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,329 Reaction score 5,024 Oct 22, 2013 #41 faiz jr said: wale vifaranga wa kienyeji waouzwa pale tazara ambao wanasema ni chotara,je wanauwezo wa kuatamia mayai? pia mimi ninao kuchi wana miezi kama miwili na nusu nilikua naomba kujua ukuaji wao upoje na soko lao Click to expand... Ukuaji wa vifaranga vya kuchi au hao chotara wa Tazara?
faiz jr said: wale vifaranga wa kienyeji waouzwa pale tazara ambao wanasema ni chotara,je wanauwezo wa kuatamia mayai? pia mimi ninao kuchi wana miezi kama miwili na nusu nilikua naomba kujua ukuaji wao upoje na soko lao Click to expand... Ukuaji wa vifaranga vya kuchi au hao chotara wa Tazara?
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,422 Reaction score 7,350 Oct 22, 2013 #42 Nitarudi Tena
F faiz jr Member Joined Aug 18, 2013 Posts 31 Reaction score 3 Oct 22, 2013 #43 Malila said: Ukuaji wa vifaranga vya kuchi au hao chotara wa Tazara? Click to expand... ukuaji wa kichi ndo nataka kujua,ila wale wa tazara nataka kujua sifa za uatamiaji mayai upoje?
Malila said: Ukuaji wa vifaranga vya kuchi au hao chotara wa Tazara? Click to expand... ukuaji wa kichi ndo nataka kujua,ila wale wa tazara nataka kujua sifa za uatamiaji mayai upoje?